Tag: trending videos

1 27 28 29 30 31 123 290 / 1230 POSTS
Nafasi ya kazi Hospitali ya Mount Meru

Nafasi ya kazi Hospitali ya Mount Meru

Tangazo la nafasi ya kazi ya Mkataba- Daktari Bingwa (Radiolojia)- Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Arusha  - Mount Meru.   [...]
Rais Samia azikumbusha nchi zilizoendelea kutimiza ahadi

Rais Samia azikumbusha nchi zilizoendelea kutimiza ahadi

Rais Samia Suluhu amezitaka nchi zilizoendelea kutimiza ahadi ya kutoa fedha kwa nchi masikini kwa ajili ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tab [...]
Simulizi ya kijana Majaliwa, shujaa aliyeokoa watu 24

Simulizi ya kijana Majaliwa, shujaa aliyeokoa watu 24

Majaliwa ni jina linalovuma ndani na hata nje ya nchi baada ya kuwa ‘raia wa kwanza’ aliyeshuhudia na kushiriki kikamilifu uokoaji wa watu katika ndeg [...]
Precision Air ilivyotolewa ziwani

Precision Air ilivyotolewa ziwani

Ndege ya Precision air iliyopata ajali siku ya jumapili baaada ya kushindwa kutua kwenye Uwanja wa ndege wa Bukoba na kudondokea ziwa Victoria tayari [...]
Kijana aliyeokoa watu kwenye ndege ya Precision Air apewa milioni 1

Kijana aliyeokoa watu kwenye ndege ya Precision Air apewa milioni 1

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amemkabidhi kijana mmoja mvuvi aliyejitosa kwenye maji akijaribu kuwaokoa wahanga wa ajali ya ndege ya Precis [...]
Waokota 3,000 taka kusajiliwa

Waokota 3,000 taka kusajiliwa

Wakati waokota taka 3,000 katika mikoa 12 ya Tanzania Bara wakitarajiwa kusajiliwa katika programu ya kidigitali ya Zaidi, unyanyapaa umetajwa kuwa ch [...]
Utendaji kazi wa Rais Samia wamvutia mgombea wa CHADEMA, ahamia CCM

Utendaji kazi wa Rais Samia wamvutia mgombea wa CHADEMA, ahamia CCM

Aliyekuwa mgombea ubunge wa Masasi Mjini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mwaka 2020, Mustapha Swalehe amejiunga na Chama cha Mapin [...]
Orodha ya majina waliokuwepo kwenye ndege ya Precision Air

Orodha ya majina waliokuwepo kwenye ndege ya Precision Air

WALIOPELEKWA HOSPITALI 1. RAGI SAMWEL INYOMA (0752157904) 28yrs DSM 2. RAUSATH HASSAN - 26yrs BUKOBA 3. ANNA MAY MITABALO 40yrs KARAGWE 4. DR FE [...]
SGR yazidi uwezo wa Bandari ya Dar

SGR yazidi uwezo wa Bandari ya Dar

Taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma kwa mwaka wa fedha 2020/2021 imetoa maazimio yake juu ya uwezo wa reli ya kisasa y [...]
Harmonize: anayeweza kuendeleza kipaji chake ajitokeze

Harmonize: anayeweza kuendeleza kipaji chake ajitokeze

Kupitia InstaStory yake @harmonize_tz amevunja ukimya juu ya sakata lake na @anjella_tz Harmonize ameweka wazi kuwa amefika muda ameshindwa kuendel [...]
1 27 28 29 30 31 123 290 / 1230 POSTS
error: Content is protected !!