Tag: trending videos
Rais Samia ameandika historia Uwanja wa Kimataifa
Na Dk Juma Mohammed, Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya ziara rasmi katika Jamhuri ya Watu wa China.
[...]
Serikali kutoa bima ya afya bure kwa Watanzania mil. 4.5
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema serikali imekusudia kutoa bima za afya kwa wote kwa watanzania milioni 4.5 sawa na asilimia 30 ya watu milioni 15 [...]
China yampongeza Rais Samia kwa maendeleo ndani ya Tanzania
Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping wameshuhudia kusainiwa kwa mikataba na hati za makubaliano ya kimkakati 15.
[...]
Ziara ya Rais Samia China itakavyofungua fursa ya fursa
Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini China kufuatia mualiko alioupata kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping, inaenda kufungua mil [...]
Mgao wa umeme Dar kupungua ifikapo Desemba
Serikali imesema makali ya mgao wa umeme nchini yanaweza kupungua mwezi ujao wa Novemba baada ya kukamilika kwa miradi ya umeme ukiwemo wa Kinyerezi I [...]
Tanzania yaongoza kuwa na Nyati wengi barani Afrika
Tanzania inatajwa kuwa nchi inayongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya nyati barani Afrika kwa kuwa na jumla ya nyati 191,805.
Hayo yamesemwa na Waziri [...]
Fahamu mikoa mitano vinara kwa ukataji miti
Mikoa mitano imetajwa kuwa vinara wa ukataji miti hovyo na kuharibu vyanzo vya maji.
Mikoa hiyo iliyotajwa kuharibu misitu na miti asili kwa kiasi [...]
Kikosi kazi cha nishati safi ya kupikia kuundwa
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maelekezo ya kuundwa kwa kikosi kazi cha taifa, ambacho kitaongozwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na kitakuwa na kazi [...]
Rais Samia atangaza mkakati wa nishati safi ya kupikia
Serikali imetangaza dira na mkakati wa miaka 10 ya kuhamia kwenye nishati safi ya kupikia ifikapo mwaka 2023.
Akitangaza mkakati huo leo Novemba Mo [...]
Rais Samia ataka mpango wa maendeleo wa kuhudumia wananchi mil. 61.7
Rais Samia Suluhu Hassan amesema ongezeko la idadi ya watu Tanzania ni mzigo kwa Taifa, hivyo lazima iwepo mipango madhubuti ya kuwahudumia watu milio [...]