Tag: trending videos
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 29,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Ijumaa Aprili 29,2022. Husikubali kupitwa.
https://www.youtube.com/watch? [...]
Tulia aonya mawaziri teuzi za mabalozi
Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson amewasihi mawaziri kuzingatia vigezo pindi wanapochagua mabalozi wa wizara zao, na sio kuwachagua kwa sa [...]
Mo Salah aibuka mchezaji bora
Mshambuliaji wa Liverpool Mohamed Salah amechaguliwa kuwa Mwanasoka Bora wa Mwaka wa Chama cha Waandishi wa Soka kwa 2021/22.
Salah, 29, amechangia [...]
Rais atatimiza ahadi yake Mei Mosi?
Macho na masikio ya wafanyakazi wa umma na sekta binafsi yataelekezwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi sherehe za Mei Mosi [...]
Magazeti ya leo Aprili 29,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa 29,2022.
[...]
CCM yakubali deni
Chama cha Mapinduzi (CCM) kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Tiwtter, kimetoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu madai ya wakandarasi dhidi ya Uhuru [...]
Zingatia haya kabla huja-delete marafiki
Katika maisha ya kila siku, pale mtu anapokuwa kwenye changamoto, baadhi ya watu huzitumia kupima uthabiti wa mahusiano waliyonayo na marafiki zao.
[...]
TMDA: Tahadhari dawa za nguvu za kiume
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba(TMDA), imeonya kuwa watumiaji wa dawa za kuongeza nguvu za kiume pasi na maelekezo ya wataalamu wa afya wako hatarini ku [...]
Magazeti ya leo Aprili 28,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Aprili 28,2022.
[...]
Baba amnajisi mtoto wa miezi 11
Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Safia Jongo amethibitisha kutokea kwa tukio la mtoto wa miezi 11 kunajisiwa na baba yake wa kambo anayeishi eneo la Am [...]