Tag: trending videos
TAMISEMI yafafanua maombi ya ajira
Baada ya kuwa na malalamiko juu ya mfumo wa uombaji ajira kada ya elimu na afya, Ofisi ya Rais- TAMISEMI imesema kwa sasa mfumo wa ajira unafanya kazi [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 25,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania leo Jumatatu Aprili 25,2022. Husikubali kupitwa
https://www.youtube.com/watch [...]
Youtube ya Diamond Platnumz yafutwa
Ikiwa ni siku mbili tangu kudukuliwa kwa akaunti ya Youtube ya msanii Diamond Platnmuz, leo Jumatatu Aprili 25,2022 akaunti hiyo imefutwa katika mtand [...]
UVCCM yawakingia kifua bodaboda
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Kenani Kihongosi amesema chama kinawaonya viongozi wanaosababisha usumbufu kwa madereva [...]
Youtube ya Diamond Platnumz yadukuliwa
Msanii wa Bongo Fleva kutoka Tanzania Diamond Platnumz ni miongoni mwa wasanii wanaofuatiliwa zaidi Afrika Mashariki na mmiliki wa lebo ya Wasafi amba [...]
Gari la Rais Samia kivutio Serengeti
Mamlaka ya Hifadhi za Taifa (Tanapa) imesema kwamba, baada ya filamu ya Royal Tour kuzinduliwa katika miji ya New York na Los Angeles Marekani, gari l [...]
Njia 5 za kuongeza matiti
Kuna baadhi ya wanawake wenye matiti madoogo wana[enda kuona matiti yao yakiwa yamekaa, mviringo na yenye mpasuko wa kutosha ili kujionyesha katika mi [...]
Siku ya Mama Sayari Dunia
Ikiwa leo dunia inaadhimisha siku ya kimataifa ya Mama Sayari dunia hii leo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres kufanyika kwa kila liwez [...]
Nauli mpya za mabasi
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Ardhini (LATRA), Gilliard Ngewe amesema mchakato wa kukusanya maoni kuhusu nauli mpya za mabasi y [...]
Maagizo ya Bashungwa zuio la bodaboda Dar
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Innocent Bashungwa amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Mhe. Amos Maka [...]