Tag: trending videos
Zijue njia 7 za kuokoa mafuta
Baada ya bei za mafuta kupanda nchini, watumiaji wengi wa vyombo vya moto wameanza kujiuliza ni namna gani wanaweza kumudu gharama hizo mpya.
Click [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Aprili 6,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri Youtube Tanzania leo Aprili 6,2022. Husikubali kuiptwa.
https://www.youtube.com/watch?v=IokCG2J-_5Q&list=PLq [...]
Harmonize hakati tamaa
Harmonize bado anazidi kuonyesha kutokata tamaa ya kumpata aliyewahi kuwa mpenzi wake, Kajala Masanja na sasa amemnunulia cheni za dhahabu zenye thama [...]
Diamond amwaga sifa kwa Rais Samia
Msanii na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Nasibu Abdul maarufu kama Diamond Platnumz amesema Rais Samia Suluhu ni kiongozi mzalendo na mwenye huruma na wan [...]
Majaliwa: bei zishuke
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi wazalishaji na wafanyabiashara wa bidhaa muhimu kutopandisha bei za vitu kiholela bila utaratibu na hatua kali k [...]
Harmonize, Diamond watofautiana
Msanii na mmiliki wa lebo ya Konde Gang, Rajabu Abdul maarufu kama Harmonize ametofautiana kimawazo na aliyewahi kuwa msimamizi wake kutoka lebo ya Wa [...]
Lil Nas abadilika baada ya Grammy’s
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, lil Nas X amesema anaacha na ushoga rasmi baada ya kushindwa kupata tuzo yoyote siku ya ugawaji wa tuzo za Grammy. [...]
Muliro: marufuku Daraja la Tanzanite
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema Jeshi hilo limepiga marufuku kwa mtu asiyehusika kufika chini ya Daraja hilo kuto [...]
Maofisa ugani kuvaa gwanda
Wakili wa Kilimo Hussein Bashe amesema maofisa ugani wote nchini wataanza kuvaa unifomu na serikali itakuwa ikitoa mavazi mawili kila mwaka.
Amesem [...]