Tag: trending videos
Ngorongoro: Tembo aua mmoja
Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya Narudwasha Titika (45), mkazi wa kijiji cha Alaitore kilichopo ndani ya Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro amefari [...]
NECTA kuja na mfumo mpya wa usahihishaji
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amesema mfumo mpya wa usahihishaji mitihani utaokoa shilingi milioni 550 zinazotengwa kwa [...]
Muhimbili: Hatuhusiki
Hospitali ya Taifa Muhimbili imetoa taarifa ya kukataa kuhusika na usambazaji wa video inayomuonyesha Mwanamuziki Profesa Jay akiwa katika chumba cha [...]
Tahadhari homa ya manjano
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema Watanzania wanapaswa kuchukua tahadhari ya mlipuko wa ugonjwa wa homa ya manjao uliopo nchini Kenya na kuahidi ku [...]

Rais Samia na fursa za uchumi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema serikali inajipanga kukabiliana na changamoto za kiuchumi zinazosababishwa na jang [...]
Mayele ampa mtoto bao
Mshambuliaji wa timu ya Yanga, Fiston Mayele amesema bao alilofunga kwenye mechi ya Ligi Kuu juzi kati ya timu yake na Geita Gold amempa zawadi mtoto [...]
Dakika 34 zamponza Davido
Mwanamuziki maarufu kutokea nchini Nigeria, Davido amelipishwa faini ya Euro 340,000 ambayo inakadiriwa kwa pesa za kitanzania ni zaidi ya Bilioni 1 n [...]
Ukraine na Urusi zaungana
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula amesema kuwa hatua za awali zakuhakikisha wanafunzi wakitanzania wa [...]

Diamond aachia #FOA
Msanii na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Diamond Platnumz ametoa kirefu cha jina la EP yake 'FOA' kwamba ni 'First Of All' kupitia ukurasa wake wa instagr [...]
Wanaume Geita walilia wake zao
Wanaume mkoani Geita wanaodai kutendewa vitendo vya ukatili na wake zao ikiwamo kupigwa na kunyimwa unyumba wamejitokeza kwa wingi katika dawati la ji [...]