Tag: trending videos
Vijana 853 waliofukuzwa waruhusiwa kurudi kwenye Makambi ya JKT
Vijana 854 kati ya 24000 wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) waliofukuzwa na kusimamishwa mafunzo mwaka 2021 kwa kosa la vitendo vya uhasi wamesamehewa na [...]
Aharibikiwa kisaikolojia baada ya kutoka Ukraine
Hairat Muhina ni kati wa wanafunzi aliyefanikiwa kurudi Tanzania akitokea Ukraine alipokuwa akisoma mwaka wa pili katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Tiba [...]
Kwa wanaume: fanya haya kuzuia kondomu isipasuke
Kwa mwanaume yoyote yule inabidi uwe makini pindi uvaapo kondomu wakati wa tendo la ndoa kwani inaweza kupasuka au kutoka na kubaki kwa mwanamke endap [...]
CHADEMA wamkubali Spika Tulia
Sophia Mwakagenda ambaye ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesema kwamba wabunge wanaotokan [...]

Viongozi wa dini wateta haya na Rais Samia kuhusu kesi ya Mbowe
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan amezungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu maendeleo ya nchi katika kik [...]
Mohammed Aboutrika aishukia vikali FIFA juu ya mgogoro wa Ukraine
Mkongwe wa timu ya taifa ya Misri Mohamed Aboutrika amelishukia vikali Shirika la Mpira wa Miguu duniani (FIFA) kwa kuitoa nchi ya Urusi kushiriki kat [...]
Wema Sepetu alamba dili lingine
Huwenda mwaka 2022 ukawa na neema na baraka kwa muigizaji nyota kutoka nchini Tanzania, Wema Sepetu kwani hivi karibuni amekuwa akisaini mikataba ya k [...]
Ali Kiba na Shilole mambo safi
Baada yakutokea na mikwaruzo ya hapa na pale kati ya nyota kutoka King's Music, Ali Kiba na Shilole hatimaye wawili hao wametuhakikishia kwamba sasa w [...]
Miss Ukraine 2015 abaki kupigana vita na Urusi
Miss Ukraine mwaka 2015, Anastasia Lena ameamua kubaki nchini humo na kujiunga na jeshi la Ukraine ili kupigana vita iliyoanzishwa na Urusi tangu juma [...]
Wema Sepetu alamba dili lingine
Muigizaji kutoka nchini Tanzania, Wema Sepetu amelamba dili lingine la kuwa balozi wa kampuni ya Dar Ceremica Center Inayojihusisha na vifaa vya ujenz [...]