Tag: trending videos
Neema kwa watakao hama Ngorongoro kwa hiari
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema serikali ipo tayari kulipa gharama zote kwa walio tayari kuhama kwa hiari eneo la Ngorongoro na kusisitiza wanaot [...]
Zanzibar kupima Uviko-19 kidigitali
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imeanza kutumia teknolojia ya skana za EDE kupima Uviko-19 kwa wasafiri wanaowasili na kusafiri kupitia uwanja wa nd [...]
Meme ya P2 yamuibua Ummy Mwalimu
Meme ni maneno au picha zenye ujumbe wakuchekesha ambazo watu hutumiana kwa lengo la kufurahishana, meme hiz zimekuwa zikibeba jumbe mbalimbali na moj [...]
Zari na Diamond ndani ya Filamu moja
Msanii kutoka nchini Tanzania na mmiliki wa lebo ya Wasafi, Diamond Platnumz amejikuta akiwa kwenye filamu moja pamoja na aliyewahi kuwa mpenzi wake, [...]
Afukuliwa siku moja baada ya kuzikwa
Mwili wa marehemu, Mark Mkude mwenye umri wa miaka 67 umefufuliwa baada ya kuzikwa na na ndugu wa marehemu mwingine, Gervas Chondoma mwenye umri wa mi [...]
DC Jokate ashtukia madudu Temeke
Ofisa Maendeleo ya Jamii wa Halmashauri ya Temeke, Herieth Makombe amesimamishwa kazi kwa muda na Mkuu wa Wilaya hiyo, Jokate Mwegelo ili kupisha uchu [...]

Tanzania itakavyonufaika na ziara ya Rais Samia nchini Ufaransa
Mkurugenzi wa Mawasiliano-Ikulu, Bi. Zuhura Yunus alitoa taarifa siku ya jana Februari 9,2022 ikisema Rais Samia akiwa nchini Ufaransa atashuhudia uti [...]
Tazama hapa video zinazo-trend Youtube Februari 9,2022
Hizi hapa video zinazofanya vizuri katika mtandao wa Youtube Tanzania. Husikubali kupitwa;
https://www.youtube.com/watch?v=j3kDvCgCG0Y&list=PLq [...]

Rais Samia ahaidi kutekeleza kikamilifu mawazo ya Magufuli
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameahidi kwenda kutekeleza kikamilifu mawazo yote yaliyoanzishwa na mtanguluzi wake [...]
Dully Sykes aeleza kinachomsibu Profesa Jay
Msanii nguli wa bongofleva Dully Sykes a.k.a Mr Misifa ameeleza kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa mwanamuziki na aliyewahi kuwa mbunge wa Mikumi, [...]