Jinsi ya kutengeneza jamu ya machungwa

Utengenezaji wa jamu si mgumu sana kama ambavyo wengi hudhani. Unaweza kutengeneza jamu kwa kutumia vifaa ulivyonavyo jikoni kwako. Jamu ya machungwa ama ‘orange marmalade’ ni moja ya jamu zenye virutubisho vingi vya afya ikiwemo vitamin C, nyuzinyuzi zenye kusaidia mmeng’enyo wa chakula, na kupunguza matatizo ya moyo. ‘Marmalade’ inaweza kutengenezwa kwa kutumia matunda ya … Continue reading Jinsi ya kutengeneza jamu ya machungwa