Maelezo juu ya kupanda kwa bei za mafuta

Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imeathiri pia bei za mafuta hapa Tanzania.  Kupanda kwa bei za mafuta sio jambo geni, limewahi kutokea mara nyingi duniani. Na mara nyingi sio suala la nchi moja, athari zake hufika duniani kote. Tumekuwekea sababu 5 ambazo kihistoria na uhalisia, huwa zinapelekea kupanda kwa bei hizo duniani: Ushawishi … Continue reading Maelezo juu ya kupanda kwa bei za mafuta