Oscars: Smith afungiwa miaka 10

Tuzo za Academy maarufu kama (Oscars) zimemfungia muigizaji maarufu wa nchi hiyo Will Smith kutokushiriki tuzo hizo kwa kipindi cha miaka kumi ijayo kutokana na taharuki aliyoleta usiku wa tuzo hizo baada ya kumzaba kibao mchekeshaji Chris Rock jukwaani. Bodi ya Magavana ilikaa kikao jana Aprili 8 siku 10 kabla ya tarehe ya kikao iliyopangwa … Continue reading Oscars: Smith afungiwa miaka 10