Viashiria kuwa mwanamke wako anapanga kuchepuka

Tofauti na wanaume, asilimia kubwa ya wanawake hutumia muda mrefu sana kutafakari kabla ya kufikia maamuzi ya kuwasaliti wapenzi wao, na zipo ishara ambazo huonekana pale ambapo mwanamke wako yupo mbioni kukusaliti Kwanza, anatoweka bila sababu. Anaanza kubadilisha vitu ambavyo vilikuwa ni mazoea bila sababu ya msingi na hawezi kukuambia ukweli kuhusu alipokuwa, kwanini simu … Continue reading Viashiria kuwa mwanamke wako anapanga kuchepuka