Zijue njia 7 za kuokoa mafuta

Baada ya bei za mafuta kupanda nchini, watumiaji wengi wa vyombo vya moto wameanza kujiuliza ni namna gani wanaweza kumudu gharama hizo mpya. ClickHabari tumefanikiwa kuperuzi kwenye tovuti mbalimbali zinazohusika na magari na kukutana na dondoo zitakazomsaidia mwendeshaji wa chombo cha moto kuweza kumudu gharama. Uzito kwenye buti Kama wewe umezoea kuweka kila kitu kwenye … Continue reading Zijue njia 7 za kuokoa mafuta