Jela miaka 60 baada ya kumbaka mama miaka 56

Mahakama ya Hakimu Mkazi Musoma imemhukumu kifungo cha miaka 60 jela, Daudi Samson (22) baada ya kumtia hatiani kwa kosa la kumbaka na kumlawiti mwanamke mwenye umri wa miaka 56 na kumsababishia maumivu maklai ikiwamo kumvunja mgongo. Mlalamikaji aliileza mahakama kuwa alimtambua aliyemtendea ukatilii huo na kumtaja kwa majina na kwamba wakati akimbaka na kumlawiti … Continue reading Jela miaka 60 baada ya kumbaka mama miaka 56