Katibu Mkuu wa TOA anatangaza nafasi ya kazi ya Afisa Miradi, atakayefanya kazi na Taasisi ya TOA ya mkoani Dodoma.