Author: Cynthia Chacha
Adani Foundation yaanzisha mpango wa kielimu wa kwanza Afrika nchini Tanzania
Tanzania East Africa Gateway Terminal Limited (TEAGTL), kupitia Adani Foundation, imetangaza kusaini Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) na IIT-Madras Za [...]
Rais Samia ataka mifumo ya ulipaji kodi iwe ya haki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan amezindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo Oktoba 4, 2024 Ikulu Dar es Sa [...]
Makusanyo TRA yapaa kwa asilimia 104.9
Kwa mwaka wa fedha 2024/2025 Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imefanikiwa kukusanya kiasi cha shilingi trilioni 7.79 katika kipindi cha mwezi Julai - [...]
Zaidi ya wananchi 18,000 kunufaika na mradi wa maji Bukoba
WANANCHI zaidi ya 18000 wa kata sita za Wilaya ya Bukoba mkoani Kagera waliokuwa na changamoto ya maji kwa muda mrefu wanatarajia kunufaika na mradi w [...]
Rais Samia ahitimisha ziara yake mkoani Ruvuma kwa kishindo
Rais Samia Suluhu Hassan amehitimisha ziara yake ya kikazi ya siku sita mkoani Ruvuma na kuhutubia maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano katika Uwa [...]
Rais Samia awapatia gari wanafunzi wa Shule ya Samia Namtumbo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amekubali ombi la kuwapatia gari la shule wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Dkt. Samia Suluhu Ha [...]
Serikali kuendelea kuiimarisha sekta ya madini
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema serikali itaendelea kuiimarisha sekta ya madini ili iendelee kuwa na ma [...]
Rais Samia: Tunatekeleza Ilani ya CCM kwa vitendo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu amesema serikali yake anayoiongoza inatekeleza kwa vitendo maagizo yote yaliyomo katik [...]
Rais Samia: Tunatekeleza Ilani kwa vitendo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu amesema serikali yake ya awamu ya sita inafanya kazi kwa kuzingatia maagaizo yaliyotolewa na [...]
Rais Samia: Tusikubali kugawanywa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Watanzania kuweka mbele maslahi ya taifa na kukataa migawanyiko ya kisia [...]