Category: Kimataifa

1 2 3 63 10 / 629 POSTS
Watu wanne wafariki kwenye ajali Tabora

Watu wanne wafariki kwenye ajali Tabora

Watu wanne, wakiwemo watoto wawili wamefariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Miza Express lililokuwa likitokea Mpanda kuelekea Bariadi kuacha njia [...]
Rais Samia aahidi kuimarishwa kwa Gridi ya Taifa

Rais Samia aahidi kuimarishwa kwa Gridi ya Taifa

Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuendelea na ujenzi wa miradi ya kuimarisha Gridi ya Taifa ili kuhakikisha umeme unaozalishwa katika Bwawa la Mwa [...]
Trump atishia kuishambulia Oman kwa sababu ya Hormuz

Trump atishia kuishambulia Oman kwa sababu ya Hormuz

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametishia kuishambulia Oman endapo nchi hiyo itazuia juhudi za Marekani za kufikia makubaliano na Iran kuhusu kufungul [...]
Karua: Mimi ndiye Rais ajaye wa Kenya

Karua: Mimi ndiye Rais ajaye wa Kenya

Kiongozi wa upinzani wa chama cha People’s Liberation Party (PLP), Martha Karua, amesema ana imani kuwa yeye ndiye Rais ajaye wa Kenya katika Uchaguzi [...]
Wimbi la uvamizi wa makanisa latikisa Kenya

Wimbi la uvamizi wa makanisa latikisa Kenya

Wasiwasi umeongezeka katika Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya kufuatia ongezeko la matukio ya uvamizi wa makanisa, hasa yale ambayo hayana walinzi. [...]
Trump atangaza mpango wa kuchukua eneo la Hormuz kuwa la Marekani

Trump atangaza mpango wa kuchukua eneo la Hormuz kuwa la Marekani

Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza mpango wa kuutangaza Mlango wa Bahari wa Hormuz kuwa eneo la Marekani wakati ambapo mvutano kati ya Marekani [...]
Tanzania na Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Sekta ya Afya yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 3.15

Tanzania na Marekani zimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano katika Sekta ya Afya yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 3.15

Serikali ya Marekani na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo zimesaini Hati ya Makubaliano ya Ushirikiano Rasmi Katika Sekta ya Afya baina [...]
Rais Ndaitwah: Tuugeuze urafiki wa kihistoria kuwa utajiri na maendeleo kwa wananchi wetu

Rais Ndaitwah: Tuugeuze urafiki wa kihistoria kuwa utajiri na maendeleo kwa wananchi wetu

Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, amesema Tanzania na Namibia zinapaswa kugeuza uhusiano wao wa kihistoria wa kidipl [...]
Tanzania na Namibia zasaini mikataba minne ya ushirikiano

Tanzania na Namibia zasaini mikataba minne ya ushirikiano

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, na Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mheshimiwa Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah, w [...]
Marekani yataka Serikali, wapinzani wazungumze

Marekani yataka Serikali, wapinzani wazungumze

Bunge la Seneti la Marekani limetaka kuanza kwa mazungumzo ya maridhiano kati ya Serikali inayoongozwa na CCM na vyama vya upinzani, ikiwa ni sehemu y [...]
1 2 3 63 10 / 629 POSTS
error: Content is protected !!