Category: Elimu
Waliondaki matusi wafutiwa matokeo
Baraza la Mitihani (NECTA) limefuta matokeo yote ya Watahiniwa wanne wa kidato cha nne mwaka 2022 walioandika lugha za matusi katika mitihani yao.
[...]
Ufaulu kidato cha nne waongezeka kwa 0.49%
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,97 [...]
OKTOBA 13 : No Bra Day
OKTOBA 13 kila mwaka ni siku maalum ya kupaza sauti na kufanya watu watambuE kwamba saratani ya matiti ipo na hivyo ni muhimu wanawake wakajijengea ut [...]
Fahamu kompyuta 5 bora za kununua
Katika ulimwengu wa sasa wa sayansi na teknolojia matumizi ya kompyuta mpakato katika shughuli za masomo, biashara au kiofisi yameongezeka kwa kiasi k [...]
Masharti 7 ya Samia Scholarship
Serikali imetangaza masharti saba kwa wanafunzi watakaoomba kunufaika na ufadhili (Samia Scholarship), ikiwemo kuhakikisha kuwa kiwango cha ufaulu hak [...]
Orodha ya waliokidhi ufadhili wa Samia Scholarship
Hii hapa orodha ya majina ya wanafunzi waliokidhi kupata ufadhili wa Samia Scholarship.
[...]
Hatua za kuweka chandarua kitandani
Watu wengi wamekuwa wakishindwa kuweka chandarua (neti) kwa ufasaha na hivyo wakati mwingine hujikuta wakilala na mdudu mbu ndani ya neti.
Kwa kuja [...]
Fahamu watu wanne wanaoweza kuharibu mahusiano yenu
Hivi karibuni mahusiano na ndoa za watu wengi hasa vijana zimekua zikivunja huku sababu kubwa ikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi au kushindwa kuvumilian [...]
Faida 3 za kutovaa nguo za ndani
Kama ulikua unajisikia vibaya pindi uvaapo chupi basi sasa unaweza kuwa na amani na kuacha kuzivaa kwani kuna faida endapo utaacha.
Zifuatazo ni fa [...]
Magari haya yanatumia kiwango kidogo cha mafuta
Bei za mafuta zimeendelea kupaa katika soko la dunia na Tanzania, jambo lililosababisha gharama za maisha kuongezeka kwa kasi.
Hii imewafanya baadhi [...]