Ufaulu kidato cha nne waongezeka kwa 0.49%

HomeKitaifa

Ufaulu kidato cha nne waongezeka kwa 0.49%

Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) leo January 29,2023 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2022 ambapo Watahiniwa wa Shule 456,975 kati ya Watahiniwa 520,558 wenye matokeo ambao ni sawa na 87.79% wamefaulu kwa kupata madaraja kuanzia daraja la kwanza, daraja la pili, daraja la tatu na daraja la nne.

“Kati yao Wasichana 243,285 (87.08%) na Wavulana ni 213,690 (88.60%), ufaulu huu wa Watahiniwa wa Shule umeongezeka kwa 0.49% ikilinganishwa na mwaka 2021”

 

error: Content is protected !!