Category: Kimataifa

1 2 3 4 63 20 / 623 POSTS
Bei ya mafuta yasababisha mgomo wa magari Kenya

Bei ya mafuta yasababisha mgomo wa magari Kenya

Wamiliki wa magari ya uchukuzi wa umma nchini Kenya wameanza mgomo leo Jumatatu wakipinga nyongeza ya bei ya mafuta iliyotangazwa wiki iliyopita. P [...]
Bei ya mafuta Kenya yapaa zaidi, dizeli na petroli zaizidi Tanzania

Bei ya mafuta Kenya yapaa zaidi, dizeli na petroli zaizidi Tanzania

Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Petroli nchini Kenya (EPRA) imetangaza ongezeko jipya la bei ya mafuta, hatua iliyosababisha Kenya kuwa na bei kubwa [...]
IMF yavutiwa na mwenendo wa uchumi wa Tanzania

IMF yavutiwa na mwenendo wa uchumi wa Tanzania

Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) na Serikali ya Tanzania zimekubaliana katika ngazi ya wataalamu ukamilishaji wa tathmini za mwisho za mpango wa uf [...]
Rais Ruto: Maadui wa Tanzania na Kenya ni changamoto za kijamii na kiuchumi

Rais Ruto: Maadui wa Tanzania na Kenya ni changamoto za kijamii na kiuchumi

Rais wa Kenya, William Ruto, amesema kuwa maadui wa mataifa ya Tanzania na Kenya si raia wa nchi hizo bali ni changamoto za kijamii na kiuchumi. “M [...]
Ruto aipongeza Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani Tanzania

Ruto aipongeza Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani Tanzania

Rais wa Kenya, Mhe. William Ruto, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitoke [...]
Standard Chartered yapanga ufadhili wa Dola Bilioni 2.33 kwa Mradi wa Reli ya Kisasa Tanzania

Standard Chartered yapanga ufadhili wa Dola Bilioni 2.33 kwa Mradi wa Reli ya Kisasa Tanzania

Benki ya Standard Chartered imetangaza kufanikisha mpango wa ufadhili wa pamoja wenye thamani ya dola bilioni 2.33 kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisa [...]
Papa Leo asifu mchango wa Serikali ya Tanzania kwa kanisa

Papa Leo asifu mchango wa Serikali ya Tanzania kwa kanisa

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Pope Leo XIV, amepongeza mchango na ushirikiano wa Serikali ya Tanzania kwa kanisa hilo, akisema ni ishara nzuri [...]
Ripoti za Amnesty na HRW zakosolewa na serikali ya Tanzania

Ripoti za Amnesty na HRW zakosolewa na serikali ya Tanzania

Serikali ya Tanzania imekosoa ripoti za Amnesty International (AI) na Human Rights Watch (HRW) kuhusu matukio ya vurugu yaliyojitokeza wakati wa Uchag [...]
Tanzania yaendelea kung’ara Afrika kwa kuvutia uwekezaji wa madini

Tanzania yaendelea kung’ara Afrika kwa kuvutia uwekezaji wa madini

Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama moja ya vivutio vikubwa vya uwekezaji katika sekta ya madini baada ya kushika nafasi ya 34 kati ya mae [...]
Ruto aitaja SGR ya Tanzania mfano bora wa uwekezaji wa kikanda

Ruto aitaja SGR ya Tanzania mfano bora wa uwekezaji wa kikanda

Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. William Samoei Ruto, ameipongeza Tanzania kwa mafanikio ya mradi wa reli ya kisasa (Standard Gauge Railway (SGR) Aki [...]
1 2 3 4 63 20 / 623 POSTS
error: Content is protected !!