Category: Kimataifa
Somalia na Tanzania zaimarisha ushirikiano wa uhamiaji kupitia MoU mpya
Somalia na Tanzania zimetia saini Hati ya Makubaliano (MoU) yenye lengo la kuimarisha ushirikiano katika usimamizi wa masuala ya uhamiaji na kuongeza [...]
Biashara kati ya Malawi na Tanzania yaongezeka kwa asilimia 13.5
Biashara kati ya Malawi na Tanzania imeongezeka kutoka dola za Marekani milioni 86.5 mwaka 2021 hadi dola milioni 98.2 mwaka 2024, ikiwa ni ukuaji wa [...]

UN yaisifu Tanzania kwa kuwa na mifumo imara ya maridhiano
Rais Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Amina Mohammed, ambaye ameisifu Tanzania kwa [...]
Tanzania yaendelea kuongoza soko la Parachichi India
Parachichi nchini India yanapatikana kwa wingi kupitia uagizaji kutoka nje, huku soko likiwa katika hali ya kawaida bila mabadiliko makubwa kwa sasa, [...]
Zimbabwe yapendekeza kuongeza mihula ya Rais na Bunge hadi miaka saba
Baraza la Mawaziri la Zimbabwe limeidhinisha muswada wa marekebisho ya Katiba unaolenga kuongeza muda wa mihula ya Rais na Bunge kutoka miaka mitano h [...]
Rais Samia kuwa balozi wa huduma za mama na mtoto barani Afrika
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amechaguliwa rasmi kuwa Balozi wa Huduma za Afya ya Mama na Mtoto barani Afrik [...]
Rushwa nchini Kenya yadhoofisha uchumi
Ripoti ya Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa ya Kenya (EACC) ya mwaka 2024 inaonesha kuwa rushwa bado ni tatizo kubwa linaloathiri moja kwa moja u [...]
Tanzania China za kubaliana kuendeleza ushirikiano wa kimkakati
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo, amekutana na kufanya mazungumzo ya pande mbili na mgeni w [...]
Venezuela kukabidhi kati ya mapipa milioni 30 hadi 50 ya mafuta kwa Marekani
Rais wa Marekani, Donald Trump, ametangaza kuwa Mamlaka za Mpito nchini Venezuela zitakabidhi kati ya mapipa milioni 30 hadi 50 ya mafuta ya ubora wa [...]
Tanzania yawakamata Wakenya 5 waliovuka mpaka Horohoro
Mamlaka za Tanzania zimewakamata raia watano wa Kenya, wakiwemo maafisa wawili wa polisi, baada ya kuvuka mpaka katika eneo la Horohoro kwa lengo la k [...]

