Category: Kimataifa
Ruto aipongeza Tume ya Uchunguzi wa Uvunjifu wa Amani Tanzania
Rais wa Kenya, Mhe. William Ruto, amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitoke [...]
Standard Chartered yapanga ufadhili wa Dola Bilioni 2.33 kwa Mradi wa Reli ya Kisasa Tanzania
Benki ya Standard Chartered imetangaza kufanikisha mpango wa ufadhili wa pamoja wenye thamani ya dola bilioni 2.33 kwa ajili ya ujenzi wa reli ya kisa [...]
Papa Leo asifu mchango wa Serikali ya Tanzania kwa kanisa
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Pope Leo XIV, amepongeza mchango na ushirikiano wa Serikali ya Tanzania kwa kanisa hilo, akisema ni ishara nzuri [...]
Ripoti za Amnesty na HRW zakosolewa na serikali ya Tanzania
Serikali ya Tanzania imekosoa ripoti za Amnesty International (AI) na Human Rights Watch (HRW) kuhusu matukio ya vurugu yaliyojitokeza wakati wa Uchag [...]
Tanzania yaendelea kung’ara Afrika kwa kuvutia uwekezaji wa madini
Tanzania imeendelea kuimarisha nafasi yake kama moja ya vivutio vikubwa vya uwekezaji katika sekta ya madini baada ya kushika nafasi ya 34 kati ya mae [...]
Ruto aitaja SGR ya Tanzania mfano bora wa uwekezaji wa kikanda
Rais wa Jamhuri ya Kenya, Mhe. William Samoei Ruto, ameipongeza Tanzania kwa mafanikio ya mradi wa reli ya kisasa (Standard Gauge Railway (SGR)
Aki [...]
Museveni Mwenyekiti mpya EAC
Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kipindi kuanzia machi 2026 hadi 2028.
Rais Muse [...]
ATCL yatangaza safari maalum ya ndege kati ya Dar na Dubai
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limetangaza kuendesha safari maalum ya ndege kati ya Dar es Salaam na Dubai siku ya Jumapili, Machi 8, 2026, kwa leng [...]
Tanzania yatoa wito wa amani kufuatia hali inayoendelea Mashariki ya Kati
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea kwa masikitiko matukio yanayoendelea kujitok [...]
Moody’s yathibitisha daraja la B1 kwa Tanzania huku ukuaji wa uchumi ukiendelea licha ya changamoto za kisiasa
Shirika la kimataifa la tathmini ya mikopo Moody’s Ratings limethibitisha daraja la Tanzania la B1 kwa muda mrefu katika mikopo ya sarafu ya ndani na [...]

