Category: Kimataifa

1 2 3 … 64 10 / 633 POSTS
Tanzania na Norway zafanya Awamu ya Nne ya Mashauriano ya Kisiasa Kuimarisha Uhusiano wa Kidiplomasia

Tanzania na Norway zafanya Awamu ya Nne ya Mashauriano ya Kisiasa Kuimarisha Uhusiano wa Kidiplomasia

Tanzania na Norway zimethibitisha dhamira yao ya kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia, kupanua ushirikiano wa kiuchumi na kuongeza ushirikiano katika m [...]
Kenya yasema haina tena wagonjwa wa Ebola

Kenya yasema haina tena wagonjwa wa Ebola

Kenya imetangaza kuwa haina tena wagonjwa wa Ebola baada ya Wizara ya Afya kusema kuwa wagonjwa wote saba waliothibitishwa kuwa na virusi vya ugonjwa [...]
Mahakama ya ICC yashinda Tuzo ya Sakharov 2026

Mahakama ya ICC yashinda Tuzo ya Sakharov 2026

Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) na maafisa wake wameshinda Tuzo ya Haki za Binadamu ya Sakharov 2026, ambayo hutolewa na Bunge la Ulaya kwa mtu [...]
Wakenya wadai mradi wa Dangote unaharibu ardhi yao

Wakenya wadai mradi wa Dangote unaharibu ardhi yao

Zaidi ya wakazi 130 wa Chandavai, Kaunti ya Lamu nchini Kenya, wamefikisha suala lao mahakamani wakipinga ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha m [...]
Watu wanne wafariki kwenye ajali Tabora

Watu wanne wafariki kwenye ajali Tabora

Watu wanne, wakiwemo watoto wawili wamefariki dunia baada ya basi la Kampuni ya Miza Express lililokuwa likitokea Mpanda kuelekea Bariadi kuacha njia [...]
Rais Samia aahidi kuimarishwa kwa Gridi ya Taifa

Rais Samia aahidi kuimarishwa kwa Gridi ya Taifa

Rais Samia Suluhu Hassan amesisitiza kuendelea na ujenzi wa miradi ya kuimarisha Gridi ya Taifa ili kuhakikisha umeme unaozalishwa katika Bwawa la Mwa [...]
Trump atishia kuishambulia Oman kwa sababu ya Hormuz

Trump atishia kuishambulia Oman kwa sababu ya Hormuz

Rais wa Marekani, Donald Trump, ametishia kuishambulia Oman endapo nchi hiyo itazuia juhudi za Marekani za kufikia makubaliano na Iran kuhusu kufungul [...]
Karua: Mimi ndiye Rais ajaye wa Kenya

Karua: Mimi ndiye Rais ajaye wa Kenya

Kiongozi wa upinzani wa chama cha People’s Liberation Party (PLP), Martha Karua, amesema ana imani kuwa yeye ndiye Rais ajaye wa Kenya katika Uchaguzi [...]
Wimbi la uvamizi wa makanisa latikisa Kenya

Wimbi la uvamizi wa makanisa latikisa Kenya

Wasiwasi umeongezeka katika Kaunti ya Kirinyaga nchini Kenya kufuatia ongezeko la matukio ya uvamizi wa makanisa, hasa yale ambayo hayana walinzi. [...]
Trump atangaza mpango wa kuchukua eneo la Hormuz kuwa la Marekani

Trump atangaza mpango wa kuchukua eneo la Hormuz kuwa la Marekani

Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza mpango wa kuutangaza Mlango wa Bahari wa Hormuz kuwa eneo la Marekani wakati ambapo mvutano kati ya Marekani [...]
1 2 3 … 64 10 / 633 POSTS
error: Content is protected !!