Trump atangaza mpango wa kuchukua eneo la Hormuz kuwa la Marekani

HomeKimataifa

Trump atangaza mpango wa kuchukua eneo la Hormuz kuwa la Marekani

Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza mpango wa kuutangaza Mlango wa Bahari wa Hormuz kuwa eneo la Marekani wakati ambapo mvutano kati ya Marekani na Iran ukiendelea kuongezeka.

Akizungumza mjini New York, Trump amesema hivi karibuni Marekani itadai udhibiti wa njia hiyo muhimu ambayo hutumika kusafirisha mafuta, gesi asilia na mbolea kwenda sehemu mbalimbali duniani.

“Baada ya kuishinda Iran, ambayo kwa sasa inapata wakati mgumu sana, hivi karibuni nitautangaza Mlango wa Hormuz kuwa eneo la Marekani,” amesema Trump.

error: Content is protected !!