Category: Kimataifa

1 4 5 6 7 8 52 60 / 512 POSTS
Ramadhani Brothers wameiwakilisha vyema Tanzania

Ramadhani Brothers wameiwakilisha vyema Tanzania

Wanasarakasi wa Kitanzania Ramadhani Brothers, wamefanikiwa kuingia nusu fainali ya mashindano ya Australia Got Talent lakini kushindwa kutwaa ubingwa [...]
Rais Samia atunukiwa tuzo ya Kiongozi Bora AFRIMMA 2022

Rais Samia atunukiwa tuzo ya Kiongozi Bora AFRIMMA 2022

Waandaji wa tuzo za AFRIMMA wamemtunukua Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan tuzo ya Uongozi Bora kwa mwaka 2022 kutokana na  mchango wake katika ku [...]
Tanzania kumi bora uvutaji bangi

Tanzania kumi bora uvutaji bangi

Ripoti ya hivi majuzi kuhusu matumizi ya tumbaku kutoka kwa kikundi cha kampeni ya afya ya umma na wasomi wa Marekani imegundua kwamba viwango vya uvu [...]
Kijana aliyeokoa watu kwenye ndege ya Precision Air apewa milioni 1

Kijana aliyeokoa watu kwenye ndege ya Precision Air apewa milioni 1

Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Albert Chalamila amemkabidhi kijana mmoja mvuvi aliyejitosa kwenye maji akijaribu kuwaokoa wahanga wa ajali ya ndege ya Precis [...]
Rais Samia ameandika historia Uwanja wa Kimataifa

Rais Samia ameandika historia Uwanja wa Kimataifa

Na Dk Juma Mohammed, Zanzibar Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya ziara rasmi  katika Jamhuri ya Watu wa China.  [...]
China yampongeza Rais Samia kwa maendeleo ndani ya Tanzania

China yampongeza Rais Samia kwa maendeleo ndani ya Tanzania

Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Xi Jinping wameshuhudia kusainiwa kwa mikataba na hati za makubaliano ya kimkakati 15. [...]
Ziara ya Rais Samia China itakavyofungua fursa ya fursa

Ziara ya Rais Samia China itakavyofungua fursa ya fursa

Ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan nchini China kufuatia mualiko alioupata kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Xi Jinping, inaenda kufungua mil [...]
Rais Samia azungumza na Waziri Mkuu wa China

Rais Samia azungumza na Waziri Mkuu wa China

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na ujumbe aliombatana nao kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu (Premie [...]
Fahamu mikoa mitano vinara kwa ukataji miti

Fahamu mikoa mitano vinara kwa ukataji miti

Mikoa mitano imetajwa kuwa vinara wa ukataji miti hovyo na kuharibu vyanzo vya maji. Mikoa hiyo iliyotajwa kuharibu misitu na miti asili kwa kiasi [...]
Takeoff afariki dunia

Takeoff afariki dunia

Chanzo cha kuaminika cha habari za burudani toka Marekani, Hollywood Unlocked, umeripoti usiku huu (Kwa saa za Marekani) marapa wa kundi la Migos amba [...]
1 4 5 6 7 8 52 60 / 512 POSTS
error: Content is protected !!