Author: Cynthia Chacha

1 2 3 4 5 242 30 / 2412 POSTS
Viongozi wa EAC na SADC Watangaza Maamuzi Muhimu Kuhusu Mgogoro wa DRC

Viongozi wa EAC na SADC Watangaza Maamuzi Muhimu Kuhusu Mgogoro wa DRC

Dar es Salaam, 8 Februari 2025 – Viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wamekubaliana juu ya h [...]
Ramaphosa awasili Tanzania

Ramaphosa awasili Tanzania

Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde (Mb.) amempokea Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mhe. Cyril Ramaphosa ambaye amewasili nchini Tanzania kushiri [...]
Tanzania yaendelea kusaidia juhudi za amani DRC

Tanzania yaendelea kusaidia juhudi za amani DRC

Dar es Salaam – Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuwa Tanzania itaendelea kusaidia juhudi za kidiplomasia katika kumaliza mgogoro masha [...]
Rais Samia atoa wito wa kusitisha mapigano DRC

Rais Samia atoa wito wa kusitisha mapigano DRC

Dar es Salaam – Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa pande zote zinazohusika katika mgogoro wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC [...]
Waziri Mkuu wa DRC awasili Tanzania

Waziri Mkuu wa DRC awasili Tanzania

Balozi wa Tanzania katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mhe. Said Mshana amempokea Waziri Mkuu wa DRC, Mhe. Judith Suminwa aliyewasili nchin [...]
Rais Museveni awasili Tanzania

Rais Museveni awasili Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni amewasili nchini Tanzania na kupokelewa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa [...]
CCM imedhamiria kufanya uchaguzi wa uadilifu

CCM imedhamiria kufanya uchaguzi wa uadilifu

KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi, amesema Chama cha Mapinduzi, kimedhamiria kuwa uchaguzi ujao utakuwa ni wa uadilifu na [...]
Rais Samia atunukiwa tuzo ya ‘The Global Goalkeeper Award’

Rais Samia atunukiwa tuzo ya ‘The Global Goalkeeper Award’

RAIS Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya ‘The Global Goalkeeper Award’ kutoka kwa Rais wa Kitengo cha Usawa wa Jinsia kutoka Taas [...]
Rais Samia Suluhu kuongoza Mkutano wa kujadili mgogoro wa DRC

Rais Samia Suluhu kuongoza Mkutano wa kujadili mgogoro wa DRC

Dar es Salaam – Rais wa Kenya, William Ruto, amethibitisha kuwa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Félix Tshisekedi, na Rais wa Rwanda, P [...]
Rais Samia Kupokea Tuzo ya Gates Goalkeepers kwa Uongozi Bora katika Afya

Rais Samia Kupokea Tuzo ya Gates Goalkeepers kwa Uongozi Bora katika Afya

Dar es Salaam – Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kupokea The Gates Goalkeepers Award, tuzo inayotolewa na Bill & Melinda Gates F [...]
1 2 3 4 5 242 30 / 2412 POSTS
error: Content is protected !!