Author: Cynthia Chacha
Kizimkazi yapiga hatua kimaendeleo, Rais Samia awakaribisha wawekezaji
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tamasha la Kizimkazi limekuwa sehemu muhimu ya safari ya maendeleo na ustawi wa wananchi wa Wilaya ya Kusini, maeneo [...]
Akiri kuua baba na mama yake mdogo akiwatuhumu kwa uchawi Njombe
Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamshikilia Jacktani Mgeni (31) kwa tuhuma za mauaji ya Alfred Mgeni (65) na mke wake Betes Msigara (55) wote wakazi w [...]
Rais Samia: Wananchi tunzeni miradi inayotekelezwa na serikali
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wananchi wa Kizimkazi na maeneo mengine kutunza miradi ya maendeleo inayotekelezwa na serikali, akisisitiza kuwa mi [...]
Polisi kuchunguza kifo cha kijana aliyekamatwa Ngorongoro
Polisi Mkoa wa Arusha wanaendelea kuchunguza mazingira yaliyosababisha kifo cha Sefu Mussa (25) na kujeruhiwa kwa Salimu Haji maarufu Chambega, baada [...]
Rais Samia asema urithi bora kwa watoto ni taifa lenye amani
Rais Samia Suluhu Hassan amesema urithi mkubwa ambao wazazi na walezi wanapaswa kuwaachia watoto wao ni taifa lenye amani ambalo wataweza kutimiza ndo [...]
Mwabukusi: Tusiwaweke viongozi kwenye shinikizo kubwa kuhusu katiba
Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, amesema Watanzania wanapaswa kukubaliana kwanza kuhusu umuhimu wa kuzungumza [...]
Serikali: 14% ya fedha za Bima ya Afya kwa Wote kugharamia magonjwa sugu
Serikali imesema asilimia 14 ya fedha zinazotengwa kupitia Bima ya Afya kwa Wote zitaelekezwa katika kugharamia matibabu ya wananchi wenye magonjwa su [...]
Rais Samia afanya mazungumzo na viongozi wa TEC
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania [...]
Rais Samia Suluhu akutana na vijana wa makachu
Rais Samia Suluhu Hassan, amekutana na vijana wa Makachu katika eneo la pembezoni mwa Bustani ya Forodhani, Zanzibar, leo Agosti 10, 2026.
Mkutano [...]
Rais Samia kutoa mtaji kwa wabunifu wa ndege nyuki ‘drone’
Rais Samia Suluhu Hassan amekubali kutoa mtaji kwa ajili ya utengezaji wa ndege nyuki yenye uwezo wa kupulizia dawa kwenye shamba la ekari moja baada [...]

