Author: Cynthia Chacha

1 2 3 … 283 10 / 2824 POSTS
Mwanasheria mbaroni tuhuma za mauaji ya mpenzi wake

Mwanasheria mbaroni tuhuma za mauaji ya mpenzi wake

Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Mwanasheria Keneth Nkiko (28) kwa tuhuma za kumuua Magreth Richard (22), mfanyabiashara na mkazi wa Mkendo, [...]
Mwanafunzi auawa, akatwa kiganja Pemba

Mwanafunzi auawa, akatwa kiganja Pemba

Jeshi la Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba limesema linaendelea na uchunguzi wa tukio la kuuawa kwa mwanafunzi wa kidato cha kwanza, Raiyan Hemed Amour, [...]
Mahakama yahukumu watatu kwenda jela miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha

Mahakama yahukumu watatu kwenda jela miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha

Mahakama ya Wilaya ya Kyela, Mbeya imewahukumu kifungo cha miaka 30 jela Boniface Charles, mkazi wa Ibanda, Sadick Mwanyemba, mkazi wa Itope na Biko M [...]
Mahakama yatengua amri ya kumkamata na kumrudisha Tanzania Sativa

Mahakama yatengua amri ya kumkamata na kumrudisha Tanzania Sativa

Mahakama Kuu ya Tanzania imetengua amri ya kukamatwa na kurejeshwa nchini kwa mwanaharakati wa mitandaoni, Edger Mwakabela maarufu kama Sativa, ikisem [...]
Waziri Mkuu akutana na viongozi wa madereva wa mabasi na malori

Waziri Mkuu akutana na viongozi wa madereva wa mabasi na malori

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Septemba 30, 2026, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa madereva wa mabasi na malori nchini, katika O [...]
DCEA yabaini magari ya kubeba maiti kutumiwa kusafirisha dawa za kulevya

DCEA yabaini magari ya kubeba maiti kutumiwa kusafirisha dawa za kulevya

Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imesema baadhi ya magari yanayosafirisha maiti kwenda mikoa mbalimbali nchini yanatumiwa n [...]
Wanigeria hawatahitaji kibali maalum kupata visa ya Tanzania

Wanigeria hawatahitaji kibali maalum kupata visa ya Tanzania

Idara ya Uhamiaji Tanzania imetangaza kuwa raia wa Nigeria wameondolewa rasmi katika utaratibu wa Visa Rejea (Referred Visa), hatua inayowaruhusu kufu [...]
Wakenya wadai mradi wa Dangote unaharibu ardhi yao

Wakenya wadai mradi wa Dangote unaharibu ardhi yao

Zaidi ya wakazi 130 wa Chandavai, Kaunti ya Lamu nchini Kenya, wamefikisha suala lao mahakamani wakipinga ujenzi wa kiwanda cha kusafisha mafuta cha m [...]
Kampuni ya Mofat yatangaza nafasi 360 za ajira

Kampuni ya Mofat yatangaza nafasi 360 za ajira

Kampuni ya usafiri ya Mofat imetangaza nafasi 360 za ajira, zikiwemo nafasi 200 za madereva wa Mabasi Yaendayo Kasi (BRT) na nafasi 160 za Maafisa wa [...]
Watanzania wanaotaka kuacha pombe wakaribishwa Mirembe

Watanzania wanaotaka kuacha pombe wakaribishwa Mirembe

Taasisi ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe imewataka Watanzania wanaotaka kuacha matumizi ya pombe kwa hiari yao, wakiwemo ambao bado hawajaingia kweny [...]
1 2 3 … 283 10 / 2824 POSTS
error: Content is protected !!