Author: Cynthia Chacha
Rais Samia azindua awamu ya pili ugawaji wa boti za uvuvi
Rais .Samia Suluhu Hassan amekabidhi boti 35 za kisasa kwa wavuvi wa Mkoa wa Tanga, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa awamu ya pili ya mradi wa ukopes [...]
Rais Samia: Watumishi watumikieni wananchi
RAIS Samia Suluhu Hassan amewakumbusha watumishi wa umma kote nchini kuwa wamekasimiwa majukumu ya kuwatumikia wananchi na amewataka wasimame ipasavyo [...]
Rais Samia apendekeza shule iitwe Beatrice Shelukindo
RAIS Samia Suluhu Hassan ameomba Shule ya Sayansi ya Wasichana ya Mkoa wa Tanga iliyopo Wilaya ya Kilindi aliiyoizinduliwa leo ipewe jina la aliyewahi [...]
Rais Samia azindua jengo la Halmashauri Bumbuli
Rais Samia Suluhu Hassan amezindua jengo la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Bumbuli mkoani Tanga lililogharimu zaidi ya shilingi bilioni 3,2.
J [...]
Rais Samia kuzindua ujenzi mradi wa umwagiliaji Mkomazi
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuweka Jiwe la msingi la ujenzi wa Bwawa la Mkomazi pamoja na kushuhudia utiaji saini wa mikataba miwili ya [...]

Mkutano wa G25 waazimia kuongeza thamani ya zao la kahawa Afrika
Rais Samia Suluhu Hassan amesema mkutano wa tatu wa nchi zinazozalisha kahawa barani Afrika unapaswa kuazimia kuongeza thamani ya zao hilo ili kufikia [...]
Hungary kufungua ofisi ndogo ya ubalozi Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Mahmoud Thabid Kombo (Mb.), tarehe 21 Februari, 2025 jijini Budapest, Hungary, a [...]
BAKWATA yakemea upandishaji wa bei bidhaa kwenye mfungo
Mwenyekiti wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Dodoma , Bashiru Omary amewataka wafanyabiashara kutotumia mwezi mtukufu wa Ramadhani k [...]

Rais Samia kuhudhuria Mkutano wa AU
Rais Dk Samia Suluhu Hassan amewasili Addis Ababa kufanya ziara ya kikazi kuanzia leo hado Februari 16, kushiriki Mkutano wa Kawaida wa 38 wa Wakuu wa [...]
Bandari ya Bagamoyo haijauzwa
Serikali ya Tanzania imekanusha uvumi unaodai kuwa mamlaka zake zimeuza Bandari ya Bagamoyo kwa Kampuni ya Uwekezaji na Maendeleo ya Saudi Arabia (SAD [...]