Orodha ya wafanyabiashara waliokidhi vigezo vya kurejeshwa Soko la Kariakoo

HomeKitaifa

Orodha ya wafanyabiashara waliokidhi vigezo vya kurejeshwa Soko la Kariakoo

Shirika la Masoko ya Kariakoo linautangazia umma orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo baada ya ujenzi wa soko jipya na ukarabati wa soko kuu kukamilika. Taarifa hii inapatikana katika tovuti ya Ofisi ya Rais – TAMISEMI na Shirika la Masoko ya Kariakoo.

Orodha hii pia imebandikwa kwenye mbao za matangazo zilizopo kwenye Soko la Machinga Complex na Soko la Kisutu.

ORODHA YA WAFANYABIASHARA 891 WALIOKIDHI VIGEZO KWA AJILI YA KUREJESHWA SOKONI KARIAKOO

 

error: Content is protected !!