Author: Cynthia Chacha

1 4 5 6 7 8 223 60 / 2228 POSTS
Bei ya mafuta yashuka

Bei ya mafuta yashuka

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli, dizeli na mafuta ya taa zitakazotumika [...]
Mwindaji wa mamba alifuata sheria

Mwindaji wa mamba alifuata sheria

Uchuguzi unaonesha mwindaji raia wa Marekani, Josh Bowmer katika tukio la kuuwa mamba eneo la kitalu cha Lake Rukwa GR alifuata sheria kwa kuwa na kib [...]
Rais Samia achangia Sh. milioni 150 ujenzi wa kanisa Machame

Rais Samia achangia Sh. milioni 150 ujenzi wa kanisa Machame

Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi milioni 150 kuchangia ujenzi wa Kanisa la KKKT la Bethel Usharika wa Nshara Machame Mkoani Kilimanjaro anakos [...]
Rais Samia afarijika kuona 58% ya wahitimu ni wanawake

Rais Samia afarijika kuona 58% ya wahitimu ni wanawake

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu nchini kuleta mabadiliko chanya katika jamii mara wanapohitimu masomo yao. Ameyasema hay [...]
Kozi nne zaongezwa mikopo ya diploma 2023-2024

Kozi nne zaongezwa mikopo ya diploma 2023-2024

Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (Heslb) imetangaza nyongeza ya kozi mpya nne zitakazopewa kipaumbele katika utoaji wa mikopo kwa ngazi ya diploma kwa m [...]
Rais Samia miongoni mwa mwanawake 100 wenye ushawishi Afrika

Rais Samia miongoni mwa mwanawake 100 wenye ushawishi Afrika

Kampuni ya Avance Media katika toleo lake la tano imetoa orodha ya wanawake 100 wenye ushawishi zaidi barani Afrika kwa mwaka 2023. Miongoni mwao n [...]
Rais Samia : Tanzania inafunguka, Tanzania ni jina kubwa

Rais Samia : Tanzania inafunguka, Tanzania ni jina kubwa

Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wazalishaji nchini kuongeza juhudi na kutumia fursa zilizopo nchini ili ziweze kuwasaidia katika shughuli zao lakin [...]
Rais Samia aagiza suluhu changamoto ya udanganyifu wa mitihani

Rais Samia aagiza suluhu changamoto ya udanganyifu wa mitihani

Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kushughlikiwa kwa changamoto ya udanganyifu wa mitihani inayosababisha Tanzania kuwa na wimbi kubwa la wahitimu wasi [...]
Tanzania ya pili Afrika, 12 duniani kuongezeka watalii

Tanzania ya pili Afrika, 12 duniani kuongezeka watalii

Tanzania imeongeza idadi ya watalii wa kigeni wanaoingia nchini kwa asilimia 19 kufikia Septemba mwaka huu ikilinganishwa na idadi ya juu iliyopata ku [...]
Mtanzania mwingine auawa nchini Israeli

Mtanzania mwingine auawa nchini Israeli

WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema amejulishwa na Serikali ya Israel kwamba kijana wa Kitanzania, Josh [...]
1 4 5 6 7 8 223 60 / 2228 POSTS
error: Content is protected !!