Author: Cynthia Chacha

1 6 7 8 9 10 276 80 / 2751 POSTS
Somalia na Tanzania zaimarisha ushirikiano wa uhamiaji kupitia MoU mpya

Somalia na Tanzania zaimarisha ushirikiano wa uhamiaji kupitia MoU mpya

Somalia na Tanzania zimetia saini Hati ya Makubaliano (MoU) yenye lengo la kuimarisha ushirikiano katika usimamizi wa masuala ya uhamiaji na kuongeza [...]
Biashara kati ya Malawi na Tanzania yaongezeka kwa asilimia 13.5

Biashara kati ya Malawi na Tanzania yaongezeka kwa asilimia 13.5

Biashara kati ya Malawi na Tanzania imeongezeka kutoka dola za Marekani milioni 86.5 mwaka 2021 hadi dola milioni 98.2 mwaka 2024, ikiwa ni ukuaji wa [...]
Kocha Gamondi rasmi kuinoa Stars

Kocha Gamondi rasmi kuinoa Stars

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda, ameweka wazi kuwa, Kocha Miguel Gamondi amesaini rasmi mkataba wa miaka miwili wa kui [...]
UN yaisifu Tanzania kwa kuwa na mifumo imara ya maridhiano

UN yaisifu Tanzania kwa kuwa na mifumo imara ya maridhiano

Rais Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Amina Mohammed, ambaye ameisifu Tanzania kwa [...]
Serikali kujenga vituo vya kisasa vya kupoza umeme kila wilaya

Serikali kujenga vituo vya kisasa vya kupoza umeme kila wilaya

Waziri wa Nishati, Deogratius Ndejembi, amesema Serikali kupitia Shirika la Umeme (TANESCO) itahakikisha inajenga vituo vya kisasa vya kupokea, kupoza [...]
Tanzania yaendelea kuongoza soko la Parachichi India

Tanzania yaendelea kuongoza soko la Parachichi India

Parachichi nchini India yanapatikana kwa wingi kupitia uagizaji kutoka nje, huku soko likiwa katika hali ya kawaida bila mabadiliko makubwa kwa sasa, [...]
Tanzania Kinara wa uzalishaji wa Kahawa iliyothibitishwa Barani Afrika

Tanzania Kinara wa uzalishaji wa Kahawa iliyothibitishwa Barani Afrika

Tanzania imetambuliwa kuwa kinara wa uzalishaji wa kahawa iliyothibitishwa barani Afrika, hatua inayothibitisha kuimarika kwa ushawishi wake katika so [...]
Bandari ya Mtwara yapokea meli kubwa ya shehena

Bandari ya Mtwara yapokea meli kubwa ya shehena

Bandari ya Mtwara imeendelea kupokea meli zaidi zinazoleta shehena ya magari na mitambo ambapo tarehe 09 Februari, 2026 meli nyingine ya MV ANA OCEAN [...]
Zimbabwe yapendekeza kuongeza mihula ya Rais na Bunge hadi miaka saba

Zimbabwe yapendekeza kuongeza mihula ya Rais na Bunge hadi miaka saba

Baraza la Mawaziri la Zimbabwe limeidhinisha muswada wa marekebisho ya Katiba unaolenga kuongeza muda wa mihula ya Rais na Bunge kutoka miaka mitano h [...]
Rais Samia kuwa balozi wa huduma za mama na mtoto barani Afrika

Rais Samia kuwa balozi wa huduma za mama na mtoto barani Afrika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amechaguliwa rasmi kuwa Balozi wa Huduma za Afya ya Mama na Mtoto barani Afrik [...]
1 6 7 8 9 10 276 80 / 2751 POSTS
error: Content is protected !!