Author: Cynthia Chacha

1 … 7 8 9 10 11 … 283 90 / 2822 POSTS
Sh bilioni 200 zatengwa kwa ajili ya vijana

Sh bilioni 200 zatengwa kwa ajili ya vijana

Serikali imetenga Sh bilioni 200 kwa ajili ya utekelezaji wa Programu ya Kitaifa ya Uwezeshaji Vijana Kiuchumi, hatua inayolenga kuongeza fursa za aji [...]
Kodi mpya kwa mafuta ghafi ya kula yanayoingizwa nchini

Kodi mpya kwa mafuta ghafi ya kula yanayoingizwa nchini

Serikali imependekeza kuanza kutoza ushuru wa forodha wa asilimia 10 kwa mafuta ghafi ya kula ya aina mbalimbali yanayoingizwa nchini, ikiwemo mafuta [...]
Marekani yalegeza makali muswada dhidi ya Tanzania

Marekani yalegeza makali muswada dhidi ya Tanzania

Bunge la Marekani, limeondoa baadhi ya vipengele vilivyotoa masharti makali kuhusu uhusiano wa Taifa hilo na Tanzania, huku moja ya mabadiliko makubwa [...]
Rais Samia haendi nje kutafuta misaada, anatafuta fursa

Rais Samia haendi nje kutafuta misaada, anatafuta fursa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema kuwa ziara za Rais Samia Suluhu Hassan katika mataifa mbalimbali [...]
Ziara ya Rais Samia Urusi yafungua fursa mpya za ushirikiano

Ziara ya Rais Samia Urusi yafungua fursa mpya za ushirikiano

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu [...]
Ziara ya Rais Samia yazaa makubaliano nane katika ya Tanzania na Urusi

Ziara ya Rais Samia yazaa makubaliano nane katika ya Tanzania na Urusi

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, amesema tayari makubaliano nane yamefikiwa kati ya Tanzania na Urusi ikiwa [...]
Urusi yataka kuendeleza sekta ya gesi Tanzania na bandari za Bahari ya Hindi

Urusi yataka kuendeleza sekta ya gesi Tanzania na bandari za Bahari ya Hindi

Balozi wa Urusi nchini Tanzania, Andrey Avetisyan, amesema Tanzania ina nafasi kubwa ya kuwa kitovu muhimu cha biashara kwa Urusi katika kuimarisha bi [...]
Putin akutana na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan: Mahusiano ya Tanzania na Urusi yaendelea kuimarika mwaka 2026

Putin akutana na Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan: Mahusiano ya Tanzania na Urusi yaendelea kuimarika mwaka 2026

Rais wa Urusi, Vladimir Putin, alikutana na Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, jijini Moscow tarehe 3 Juni kwa mazungumzo ya kuimarisha ushirikian [...]
Rais Samia Suluhu atunukiwa Shahada ya Heshima wakati wa ziara ya kiserikali Urusi

Rais Samia Suluhu atunukiwa Shahada ya Heshima wakati wa ziara ya kiserikali Urusi

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Shahada ya Heshima (Honorary Doctorate) wakati wa ziara yake ya kiserik [...]
Rais Samia: Polisi epukeni vitendo vya rushwa

Rais Samia: Polisi epukeni vitendo vya rushwa

Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama, Rais Samia Suluhu Hassan amewataka maafisa wa Jeshi la Polisi kuhakikisha wanajenga taswira njema ya [...]
1 … 7 8 9 10 11 … 283 90 / 2822 POSTS
error: Content is protected !!