Museveni Mwenyekiti mpya EAC

HomeKimataifa

Museveni Mwenyekiti mpya EAC

Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Museveni amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwa kipindi kuanzia machi 2026 hadi 2028.

Rais Museveni Museveni amechaguliwa leo machi 7, 2026 katika mkutano wa kawaida wa 25 wa wakuu wa nchi wa (EAC) na hivyo, anamrithi mtangulizi wake, Rais wa Kenya Mhe. William Ruto aliyemaliza muda wake.

Mkutano huo uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Jijini Arusha,(AICC) umehudhuriwa viongozi wa nchi wanachama wa Jumuiya hiyo.

error: Content is protected !!