Category: Siasa
Marufuku kupokea zawadi zaidi ya Sh 4,500
Maafisa wote wa serikali wanakatazwa kisheria kuchukua zawadi ya gharama ya zaidi ya Ksh 4,500 ~ Tsh 90,000 na endapo watapokea zawadi hiyo wanapaswa [...]
Wabunge waomba mshahara milioni 23
Wabunge wa Kenya wameomba ongezeko la 62% ya mshahara wao ili kufikia shilingi milioni 1.15 ya Kenya sawa na milioni 23 za Kitanzania.
Wabunge hao [...]
Spika aarifiwe uamuzi wa Baraza Kuu CHADEMA
Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje CHADEMA, John Mrema amesema hatua inayofuata kufuatia kuondolewa uanachama kwa wanachama wake 19 ni [...]
Ndugai: Sijasema naacha siasa
Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amefafanua kauli aliyoitoa juzi ya kutangaza kutogombea ubunge uchaguzi mkuu 2 [...]
Bashungwa: “Nakupa miezi mitatu”
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amempa miezi mitatu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Musom [...]
Historia fupi ya Mwai Kibaki kwenye siasa
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, leo Aprili 22 ametangaza msiba wa aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tatu wa nchi hiyo, Emilio Mwai Kibaki kilichotokea leo akiw [...]
Takukuru yamkalia kooni Raibu
Taasisi ya Kupigana na Kupambana na Rushwa, (Takukuru) imesema imepokea malalamiko yamhusiyo aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi Mjini, Juma Raibu na [...]
Fahamu mambo 50 kuhusu Mwl. Nyerere
Leo ikiwa ni kumbukizi ya miaka 100 tangu kuzaliwa kwa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere (Baba wa Taifa) na Rais wa Kwanza wa Tanzania. Haya hapa ni ba [...]
Meya wa Moshi avuliwa uongozi
Meya wa Manispaa ya Moshi Mjini mkoani Kilimanjaro, Juma Raibu ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Boma Mbuzi amevuliwa cheo hicho na Bazara la Madiwani M [...]
Sababu ya Mwl. Nyerere kutaka kuacha urais 1980
Wakati wa Kongamano la kumbukizi ya miaka 100 tangu kuzaliwa kwa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, mtoto wake Charles Makongoro Nyerere [...]