Category: Siasa
Agosti 21 na 23 kujulikana hatma ya watia nia Ubunge CCM
Hatimaye mbivu na mbichi kuhusu nani atapewa ridhaa ya kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kwa nafasi ya ubunge iwe wa kuchaguliwa au vi [...]
CCM yazindua Harambee ya kuchagia fedha kwa ajili ya kampeni
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimezindua rasmi harambee ya kitaifa kwa lengo la kuchangia fedha za kufanikisha kampeni za uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 [...]
Mpina ahamia ACT Wazalendo
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kisesa na Waziri wa zamani wa Mifugo na Uvuvi Luhaga Mpina amehamia rasmi chama cha ACT Wazalendo leo Agosti 5, 2025.
Mp [...]

Hii hapa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya Mwaka 2025-2030
WAJUMBE wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa wameipitisha na kuizindua rasmi Ilani ya utekelezaji ya CCM ya mwaka 2025 – 2030 katika uku [...]

CCM Yazindua Ilani ya Uchaguzi 2025–2030
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekamilisha maandalizi ya Ilani yake mpya ya Uchaguzi kwa mwaka 2025, ambayo imewasilishwa rasmi leo Mei 30, 2025 katika M [...]

Rais Samia atahadharisha wanaharakati wa kigeni kuacha kuingilia masuala ya nchi
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa onyo kwa wanaharakati wa kigeni wanaodaiwa kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, akisema kuwa ikiwa wamewekewa vikwa [...]
INEC Yaunda Majimbo Mapya 8 kwa Uchaguzi wa 2025
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imeongeza majimbo mapya manane ya uchaguzi nchini, uamuzi utakaongeza ukubwa wa Bunge na kulifanya liwe na wabun [...]
Viongozi wa Kanda CHADEMA mkoa wa Mwanza na wanachama 170 watimkia CCM
WANACHAMA 170 wapya wamejiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiongozwa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Mwanza, P [...]
Wabunge waliopoteza imani kwa wananchi hali tete
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza mabadiliko ya mfumo wa upatikanaji wa wagombea ubunge na udiwani kwa lengo la kuongeza ushirikishwaji wa wananch [...]
CHADEMA kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi mwaka huu
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Ndugu John Mnyika ameufahamisha umma kwamba hatohudhuria na hatoshiriki kwenye kikao cha leo [...]