Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora
Waziri – Mh. Ridhiwani Jakaya Kikwete
Naibu – Regina Ndege Kwarai
Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
Waziri – Prof. Kitila Mkumbo
Naibu – Pius Steven Chaya
Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana
Waziri – Joel Nanauka
Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira
Waziri – Mh. Mhandisi Hamadi Masauni
Naibu – Dkt. Festo Dugange
Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu
Waziri – Mh. William Lukuvu
Naibu – Ummy Nderiananga
Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano
Waziri – Mh. Deus Sangu
Naibu – Mh. Rahma Riadh Kisuo
Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
Waziri – Mh. Prof. Riziki Sailas Shemdoe
Naibu – Mh. Reuben Nhamanilo (Elimu)
Naibu – Mh. Dr. Jaffar Rajab Seif (Afya)
Wizara ya Fedha
Waziri – Mh. Balozi Khamis Musa Omar
Naibu – Mh. Laurent Deogratius Luswetula
Naibu – Mh. Mshamu Ally Munde
Wizara ya Mambo ya Nje
Waziri – Mahmood Thabit Kombo
Naibu – Dkt. Ngwaru Jumanne Magembe
Naibu – Mh. James Kinyasi Millya
Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri – Boniface Simbachawene
Naibu – Denis Lazaro Londo
Wizara ya Kilimo
Waziri – Daniel Chongolo
Naibu Waziri – Mh. David Silinde
Wizara ya Maji
Waziri – Mh Juma Aweso
Naibu Waziri – Mh. Kundo Andrew Mathew
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri – Mh. Raymond Simon Nyansao
Wizara ya Ujenzi
Waziri – Abdallah Ulega
Naibu – Mh. Godfrey Msonge
Wizara ya Uchukuzi
Waziri – Prof Makame Mbarawa
Naibu – Mh. David Mwakiposa
Wizara ya Viwanda na Biashara
Waziri – Mh. Judith Salvio Kapinga
Naibu – Mh. Patrobas Katambi
Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
Waziri – Mh. Angela Kairuki
Naibu – Mh. Sweetbert Zakaria Mkama
Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum
Waziri – Dorothy Gwajima
Naibu – Mh. Marry Mahundi
Wizara ya Afya
Waziri – Mohammed Gwajima
Naibu – Dkt. Florance George Samizi
Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia
Waziri – Prof. Adolf Mkenda
Naibu – Wanu Hafidh Ameir
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi
Waziri – Dkt. Leonard Akwilapo
Naibu – Kasper Kasper Muya
Wizara ya Mali Asili na Utalii
Waziri – Mh. Asha Kijaji
Naibu – Hamad Hassan Chade
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo
Waziri – Prof. Palamagamba Kabudi
Naibu – Hamisi Mwinjuma
Naibu – Paul Makonda
Wizara ya Mifugo na Uvuvi
Waziri – Dkt. Bashiru Ally Kakurwa
Naibu – Mh. Ngwasi Damas Kamani
Wizara ya Madini
Waziri – Anthony Peter Mavunde
Naibu – Mh. Dkt. Steven Lemomo Kiruswa
Wizara ya Nishati
Waziri – Mh. Deogratius Ndejembi
Naibu – Salome Makamba
Wizara ya Katiba na Sheria
Waziri – Mh. Juma Homera
Naibu – Zainab Athuman Katimba


