Majina ya walioitwa kwenye usaili wa kazi Jeshi la Polisi

HomeKitaifa

Majina ya walioitwa kwenye usaili wa kazi Jeshi la Polisi

Jeshi la Polisi limetangaza majina 1,475 ya vijana walioomba kujiunga na jeshi hilo ambapo usaili utafanyika Makao Makuu ya Polisi Dodoma kuanzia Septemba 27, 2021 hadi Septemba 30, 2021.

Aidha, mkoani Dar es Salaam usaili utafanyika eneo la Polisi (Baracks) Barabara ya Kilwa Road karibu na Hospitali Kuu ya Polisi Kilwa.

Taarifa hiyo imeeleza kuwa wenye elimu ya kidato cha nne na sita waliowasilisha maombi yao kwa makamanda wa polisi wa mikoa watafanya usaili kwenye mikoa
yao.

Majina yote haya hapa.

TANGAZO-LA-KUITWA-KWENYE-USAILI

 

error: Content is protected !!