Movie kali wiki hii..

HomeBurudani

Movie kali wiki hii..

The Protege, filamu ya 2021, ndani wamo waigizaji nguli wa Hollyowood Michael Kaeton, Maggie Q na Samuel Jackson.

Filamu ni kuhusu mtoto aitwaye Anna ambaye anaokolewa na Moody ambaye ni muuwaji nguli. Moody anamfundisha Anna mbinu zote za mauwaji na hatimaye Anna anakuwa muuwaji hatari sana kuwahi kutokea. Moody anauwawa kinyama sana na Anna anadhamiria kulipiza kisasi kwa wauwaji wa Moody….. Filamu kali sana!!!!!

Director: Martin Campbell.

error: Content is protected !!