Tag: Bunge la Tanzania
Rais Samia apongezwa na USAID kwa mageuzi ya kiuchumi na kidemokrasia
Msimamizi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Marekani (USAID), Bi. Samantha Power, amekiri azma ya Rais Samia Suluhu Hassan katika kukuza mageuzi [...]
Wanaume mnaopitia unyanyasaji toeni taarifa
Wanaume nchini wameshauriwa kutovumilia na kuficha vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa kwenye ndoa na kwenye familia zao.
Badala yake, wametakiwa ku [...]
Uchumi kukua kwa 5.2% mwaka 2023
Uchumi wa Tanzania unatarajia kukua kwa kasi ya asilimia 5.2 mwaka 2023 kutoka asilimia 4.7 mwaka jana ukichochewa zaidi na sababu mbalimbali zikiwemo [...]
Rais Samia ahimiza uhifadhi wa chakula
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kutouza nje ya nchi chakula chote kinachovunwa bali kihifadhiwe kwa ajili ya kuongeza akiba itakayosaidi [...]
Magazeti ya leo Juni 5,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Juni 5, 2023.
[...]
Rais Samia ashiriki kuapishwa kwa Rais Tinubu
Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na viongozi mbalimbali kuhudhuria sherehe za kuapishwa kwa Rais mteule wa Nigeria, Bola Tinubu, aliyeapishwa jana M [...]
Magazeti ya leo Mei 30,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumanne Mei 30,2023.
[...]
Magazeti ya leo Mei 29,2023
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Mei 29,2023.
[...]
Ukweli kuhusu mgomo wa wafanyabiashara wa Kariakoo
Na Hamza Karama, Kariakoo DSM
Kwa ufupi
Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo.
Maamuz [...]

Rais Samia: Membe alipenda maendeleo ya wananchi
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kifo cha aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania Benard Membe, kimeacha pengo kubwa kwa familia, Wat [...]

