Tag: Bunge la Tanzania

1 2 3 4 5 78 30 / 775 POSTS
Taasisi 88 zapatiwa vibali kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

Taasisi 88 zapatiwa vibali kusimamia Uchaguzi Mkuu 2025

Jumla ya Taasisi za ndani 76 na nje 12 zimepata kibali cha kuwa waangalizi wa Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani unaotarajiwa kufanyika Oktoba [...]
CCM yaandika historia Afrika kwa kufanya Mkutano Mkuu kidijitali

CCM yaandika historia Afrika kwa kufanya Mkutano Mkuu kidijitali

Leo tarehe 26 Julai 2025, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeandika historia mpya barani Afrika kwa kufanikisha Mkutano Mkuu wa Taifa kwa njia ya mtandao, [...]
Daraja la Masagi mkombozi kwa wananchi wa Iramba

Daraja la Masagi mkombozi kwa wananchi wa Iramba

Kukamilika kwa daraja la Masagi linalojengwa katika barabara ya Kibirigi–Masagi kunatarajiwa kuunganisha vijiji vya Kibirigi, Masagi na Tyeme katika K [...]
Rais Samia aahidi shilingi bilioni 1 kwa Taifa Stars CHAN 2024

Rais Samia aahidi shilingi bilioni 1 kwa Taifa Stars CHAN 2024

Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi zawadi ya Shilingi Bilioni 1 endapo timu ya Taifa, Taifa Stars, itatwaa ubingwa wa michuano ya CH [...]
Hii hapa Ratiba ya uteuzi wa wagombea CCM

Hii hapa Ratiba ya uteuzi wa wagombea CCM

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetoa ratiba mpya ya vikao vya uteuzi wa watia nia wa nafasi za ubunge, uwakilishi na udiwani ili kufanikisha mchakato wa [...]
Waziri Aweso aitaka kasi na ubora kwa wakandarasi wa Mradi wa Maji Njombe

Waziri Aweso aitaka kasi na ubora kwa wakandarasi wa Mradi wa Maji Njombe

Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso, amewakemea wakandarasi wa mradi wa maji wa miji 28 unaotekelezwa Wanging'ombe na Makambako, mkoani Njombe, kutokana [...]
Sh bilioni 298 kugharamia kifua kikuu, UKIMWI na Malaria

Sh bilioni 298 kugharamia kifua kikuu, UKIMWI na Malaria

Jumla ya Sh bilioni 298 zimetumika na serikali kwa mwaka wa fedha 2024/25 na 2025/26 kuongeza nguvu manunuzi ya dawa na vifaa tiba ili kufidia fedha z [...]
Uzalishaji madini Geita waongezeka kwa 20%

Uzalishaji madini Geita waongezeka kwa 20%

Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan, mkoa wa Geita umepata mafanikio makubwa yaki [...]
Rais Samia: Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni jumuishi

Rais Samia: Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 ni jumuishi

Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema ili nchi ifikie malengo iliyojiwekea katika Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, taasisi za umma, sekta bin [...]
Dk. Burian: Tanga ina lita milioni 210 za mafuta

Dk. Burian: Tanga ina lita milioni 210 za mafuta

Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Dk. Batilda Burian amesema mkoa huo unahifadhi ya lita za ujazo milioni 210 za mafuta ya petroli na dizeli, ikiwa ni mat [...]
1 2 3 4 5 78 30 / 775 POSTS
error: Content is protected !!