Tag: Bunge la Tanzania
Waziri Kombo aongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Waratibu wa Utekelezaji wa Maazimio ya FOCAC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa Wara [...]
Tanzania kuzisaidia nchi tisa masuala ya utabiri hali ya hewa
Kutokana na Mamlaka ya Hewa Tanzania (TMA) kuendelea kuhimili viwango vya utoaji huduma kimataifa, Tanzania kupitia TMA imepewa jukumu la kusaidia nch [...]
MSD yapokea bilioni 100 kwa ajili ya kuongeza uzalishaji
Bohari ya Dawa (MSD), imepokea zaidi ya shilingi bilioni 100 ikiwa ni mtaji wa kuimarisha uwezo wake wa kifedha kwa kuongeza uzalishaji wa dawa na upa [...]
Waziri wa Mambo ya Nje Tanzania aanza ziara ya kikazi nchini China
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amewasili jijini Beijing, China tarehe 9 Juni 2025 [...]
Zaidi ya shule 20,000 za msingi na 5,000 za sekondari zina vyanzo vya maji vya uhakika
Serikali imesema kuwa shule 5,311 za Sekondari zina vyanzo vya maji vya uhakika, huku pia shule 20,509 za msingi zina vyanzo vya maji ya uhakika.
K [...]
Ndege ya kudhibiti visumbufu vya mazao aina ya Thrush 510P2+ yanunuliwa na Serikali
Serikali ya Tanzania imenunua ndege aina ya Thrush 510P2+ ambayo itatumika katika kudhibiti visumbufu vya mazao, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuonge [...]
Lesotho yajifunza kutoka Tanzania kuhusu usimamizi wa nishati
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati ya Lesotho, Bwana Tonkiso Phapano, ameongoza ujumbe maalum nchini Tanzania kwa ziara ya kimafunzo kuhusu usimamizi wa [...]
Rais Samia aridhia ajira mpya 300 TRA
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ombi la kuongeza nafasi za ajira 300 katika mamlaka hiyo.
Taarifa ya Mk [...]
Ushirikiano kati ya Tanzania na Japan wazidi kuimarika
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ushirikiano wa Tanzania na Japan umezidi kukua na kuimarika katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia am [...]
Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya aunga mkono kauli ya Rais Samia Suluhu
Waziri wa Mambo ya Nje Musalia Mudavadi amekiri kuwa ukosoaji wa hivi majuzi wa Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kuhusu tabia ya Wakenya huenda un [...]

