Tag: Bunge la Tanzania
Rais wa Namibia awasili Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Namibia, Mhe. Dkt. Netumbo Nandi-Ndaitwah amewasili nchini Mei 20, 2025 kwa ajili ya kuanza ziara rasmi ya siku mbili kuanzia tareh [...]
Polisi yawasaka waliosambaza taarifa za upotoshaji mtandaoni kupitia X (Zamani Twitter)
Jeshi la Polisi nchini limetangaza kuanza msako maalum dhidi ya watu wanaodaiwa kusambaza taarifa za upotoshaji mtandaoni kupitia jukwaa la kijamii la [...]
Wabunge wampongeza Rais Samia kwa ubunifu na mageuzi katika Sekta ya Utalii
Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa ubunifu ali [...]

Rais Samia atahadharisha wanaharakati wa kigeni kuacha kuingilia masuala ya nchi
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa onyo kwa wanaharakati wa kigeni wanaodaiwa kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, akisema kuwa ikiwa wamewekewa vikwa [...]
Idadi ya watalii yaoongezeka na kupita lengo la Ilani ya CCM ya Mwaka 2020
Idadi ya watalii wanaozuru Tanzania imeongezeka kwa kiasi kikubwa na tayari imepita lengo la Ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya mwaka 2020. Mafanik [...]
Mwenge watembelea miradi ya elimu na nishati Tunduru
Mwenge wa Uhuru ukiwa wilayani Tunduru, mkoani Ruvuma, umetembelea mradi wa nishati safi ya kupikia katika Shule ya Sekondari Tunduru, unaogharimu zai [...]
Laini za simu 47,728 zafungiwa kwa uhalifu, ulaghai mtandaoni
Serikali kupitia Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imebaini kuzifungia laini za simu 47,728 na Nambari za Kitambulisho cha Taifa (NIDA) 39,028 zi [...]
Rais wa Findland awashukuru Watanzania kwa ukarimu
Rais wa Finland, Alexander Stubb, ametoa shukrani zake za dhati kwa Watanzania kutokana na ukarimu waliouonyesha wakati wa ziara yake ya kitaifa ya si [...]
Wananchi wa Mbagala kuondokana adha ya kukatika umeme
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Lazaro Twange amesema wananchi wa maeneo ya Mbagala na viunga vyake sasa wanatarajia kupat [...]
Waziri Kombo Amkabidhi Rais Museveni Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais Samia
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe Malumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya M [...]

