Tag: Freeman Mbowe
Rais Samia: Maafisa ugani ni mashujaa
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kutambua na kupongeza juhudi za maafisa ugani na maafisa ushirika katika kuchochea maendeleo ya sekta ya kilimo nc [...]
Mwendokasi Gerezani- Mbagala kuanza Novemba mwaka huu
Huduma ya usafiri wa mabasi yaendayo haraka maarufu mwendokasi katika njia ya Gerezani hadi Mbagala, jijini Dar es Saalam, unatarajiwa kuanza Novemba [...]
Rais Samia : Hongereni wakulima, wafugaji na wavuvi
Rais Samia Suluhu Hassan amewapongeza wakulima, wafugaji, na wavuvi kwa juhudi zao kubwa zinazochangia katika maendeleo ya sekta ya kilimo, mifugo, na [...]
Morogoro wamkosha Rais Samia, aahidi kurudi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akikaribia kumaliza rasmi ziara yake ya kikazi ya siku tano mkoani Morogoro, ametoa shuk [...]
Rais Samia: Wazazi waacheni watoto wasome
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi wa Ifakara na Mlimba kuhakikisha watoto wao wanapata elimu kwa manufaa ya jamii na taifa kwa [...]
Changamoto za Teknolojia Mpya: Kutoka Beijing-Shanghai hadi SGR ya Tanzania
Katika ulimwengu wa usafiri wa kisasa, treni za mwendokasi zimekuwa alama ya maendeleo ya teknolojia. Hata hivyo, tukio la kukatika kwa umeme kwenye r [...]
Kiongozi mkuu wa Hamas auawa
Kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas la Palestina Ismail Haniyeh ameuwa katika mji mkuu wa Iran, Tehran, vyombo vya Habari vya serikali ya Iran vimes [...]
Ruto atangaza Baraza la Mawaziri
Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza orodha nyingine ya Mawaziri wapya 10. Kwenye Orodha hiyo, Ruto amechagua mpaka mawaziri kutoka vyama vya Upinza [...]
Ford Foundation yakana tuhuma za Rais Ruto
Nairobi, Kenya - Shirika la hisani la kimataifa lenye makao yake Marekani, Ford Foundation, limekanusha madai ya Rais William Ruto kwamba limefadhili [...]
Rais Samia azindua maghala na vihenge Rukwa, aahidi uboreshaji wa sekta ya kilimo
Leo, Rais Samia Suluhu Hassan amezindua maghala ya kuhifadhi nafaka mkoani Rukwa, katika jitihada za kukuza sekta ya kilimo nchini. Akizungumza katika [...]