Tag: habari kubwa za michezo
Magazeti ya leo Desemba 26,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatatu Desemba 26,2022.
[...]
Bilioni 2.2 za Rais Samia zakamilisha madarasa 110 Ilemela
Wanafunzi 12,548 waliofaulu kujiunga na kidato cha kwanza katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela hawatakosa sehemu ya kusomea baada ya halmashauri [...]
Mahakama yatoa ruksa wafungwa kupiga kura jela
Mahakama Kuu ya Tanzania imetengua Kifungu cha 11 (1) (c) cha Sheria ya Taifa ya Uchaguzi iliyofanyiwa marekebisho mwaka 2015 kinachozuia wafungwa kup [...]
Magazeti ya leo Desemba 23,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Desemba 23,2022.
[...]
Magazeti ya leo Desemba 22,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Alhamisi Desemba 22,2022.
[...]
Ujenzi wa reli Tabora- Kigoma waiva
Kipande cha ujenzi wa reli ya kati Tabora- Kigoma kitagharimu dola za Marekani bilioni 2.7 sawa na shilingi trilioni 6.34.
Reli hiyo ambayo mkataba [...]
Magazeti ya leo Desemba 21,2022
Habari za asubuhi, nakukaribisha kutazama yale yaliyojiri katika kurasa za mbele na nyuma za magazeti ya Tanzania leo Jumatano Desemba 21,2022.
[...]
Tanzania yaupiga mwingi Kombe la Dunia Qatar
Tanzania imenufaika na Michuano za Kombe la Dunia nchini Qatar kwa kuongeza mauzo ya nyama katika jimbo la Ghuba kwa mwezi mzima wa michuano hiyo.
[...]
Watu 2,300 kushuhudia ujazwaji maji Bwawa la Nyerere
Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguaji wa lango la handaki mchepuko litakaloruhusu maji yaanze kujaa katika bwawa [...]
Serikali kuboresha maslahi ya wanahabari 2023
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema mwaka 2023 Serikali itaweka nguvu kubwa katika kuboresha maslahi ya waandis [...]

