Tag: habari magazetini
Mahakama itachochea utekelezaji wa Dira ya Maendeleo 2050
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Mahakama ya Tanzania itakuwa na mchango katika kuiwezesha nchi kufikia malengo ya maendeleo kama yalivyobainishwa kwe [...]
Haya hapa matokeo ya kidato cha nne 2024
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne iliyofanyika Novemba 11 hadi 29, 2024.
Katibu Mtendaji wa [...]

Ujenzi barabara ya haraka Kibaha hadi Chalinze mbioni kuanza
Serikali imesema miradi inayotarajiwa kuanza utekelezaji mwaka 2025 ni ujenzi wa barabara ya haraka kutoka Kibaha hadi Chalinze yenye urefu wa kilomit [...]
Tanzania namba moja katika ya maeneo 20 za kutembelewa 2025
Mtandao wa U.S. News & World Report unaojihusisha na maswala ya safari na utalii umetaja maeneo 20 muhimu kwa watalii kutembelea Afrika 2025 ambap [...]
Ruzuku ya mbegu na mbolea kutolewa kidigitali
Serikali ya Tanzania imesema mfumo mpya wa kigitali wa kusajili wakulima uliobuniwa hivi karibuni utasaidia wakulima kupata ruzuku ya mbolea kwa urahi [...]
Rais Samia atoa msamaha kwa wafungwa 1,548
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa msamaha kwa wafungwa 1,548 kwa vigezo mbalimbali ambapo 22 kati yao wanaachiliwa huru tarehe 9 Disemba, 2024 na 1,526 [...]
Rais Samia kuunda tume ya uchunguzi Ngorongoro
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ataunda Tume mbili ambapo moja itachunguza na kutoa mapendakezo kuhusu masua [...]
Ufafanuzi kupotea kwa Abdul Nondo
JESHI la Polisi limefafanua kuwa linaendelea na ufuatiliaji wa tukio la kupotea kwa Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul No [...]
Rais Samia aongeza muda wa uokoaji Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji katika jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo Novemba 16, m [...]
Rais Samia: Poleni wananchi Kariakoo
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa uongozi wa mkoa wa Dar es Salaam, Jeshi la Polisi, Zimamoto na Hospitali ya Muhimbili sambamba na menejime [...]

