Tag: habari za burudani

1 2 3 4 5 6 154 40 / 1532 POSTS
Rais Samia kushiriki Mkutano wa G20 Brazil

Rais Samia kushiriki Mkutano wa G20 Brazil

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya ziara ya kikazi nchini Brazil kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama [...]
Tanzania kushiriki Mkutano wa Viongozi wa G20 kwa mara ya kwanza

Tanzania kushiriki Mkutano wa Viongozi wa G20 kwa mara ya kwanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, atashiriki katika Mkutano wa Viongozi wa G20 utakaofanyika kwa mara ya kwanza [...]
Maonesho ya utalii wa Tanzania Ujerumani yafana

Maonesho ya utalii wa Tanzania Ujerumani yafana

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani Mhe. Hassan Mwamweta ameyataka makampuni makubwa ya Utalii nchini Ujerumani kuifanya Jamhuri ya Muungano wa Tanzan [...]
Rais Samia aipa TANROADS zaidi ya bilioni 500 ujenzi wa miundombinu Dar

Rais Samia aipa TANROADS zaidi ya bilioni 500 ujenzi wa miundombinu Dar

Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan zaidi ya Shilingi Bilioni 500 zimeto [...]
Rais Samia kuanza ziara Cuba

Rais Samia kuanza ziara Cuba

Rais Samia Suluhu Hassan anaanza ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini Cuba yenye lengo la kuimarisha uhusiano baina ya mataifa hayo mawili. Ziar [...]
BoT: Uchumi hautoathirikia noti zikiondolewa

BoT: Uchumi hautoathirikia noti zikiondolewa

Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imesema uamuzi wa kuondoa kwenye mzunguko noti za zamani za Shilingi ya Tanzania zilizoidhinishwa kutumika na benki hiyo m [...]
IMF yatabiri uchumi wa Tanzania kukua kwa asilimia 6 mwaka 2025

IMF yatabiri uchumi wa Tanzania kukua kwa asilimia 6 mwaka 2025

Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limetabiri kukua kwa uchumi wa Tanzania kwa asilimia 6 mwaka 2025 kutoka asilimia 5.1 iliyorekodiwa katika mwaka h [...]
Rais Ruto amteua Kindiki kuwa naibu rais

Rais Ruto amteua Kindiki kuwa naibu rais

RAIS wa Kenya, William Ruto amemteua Profesa, Kithure Kindiki kuwa naibu rais akichukuwa nafasi ya Rigathi Gachagua, ambaye aliondolewa madarakani na [...]
Rais Samia ataka mifumo ya ulipaji kodi iwe ya haki

Rais Samia ataka mifumo ya ulipaji kodi iwe ya haki

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan amezindua Tume ya Rais ya Marekebisho ya Kodi leo Oktoba 4, 2024 Ikulu Dar es Sa [...]
Rais Samia: Tusikubali kugawanywa

Rais Samia: Tusikubali kugawanywa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametoa wito kwa Watanzania kuweka mbele maslahi ya taifa na kukataa migawanyiko ya kisia [...]
1 2 3 4 5 6 154 40 / 1532 POSTS
error: Content is protected !!