Tag: habari za kimataifa
Serikali yatangaza mikopo ya Sh bilioni 200 kwa vijana
Serikali ya Tanzania imetangaza rasmi utaratibu wa utoaji wa mikopo ya jumla ya Sh bilioni 200 kwa vijana, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuongeza ajir [...]
Ripoti za Amnesty na HRW zakosolewa na serikali ya Tanzania
Serikali ya Tanzania imekosoa ripoti za Amnesty International (AI) na Human Rights Watch (HRW) kuhusu matukio ya vurugu yaliyojitokeza wakati wa Uchag [...]
ATCL yatangaza safari maalum ya ndege kati ya Dar na Dubai
Shirika la Ndege Tanzania (ATCL) limetangaza kuendesha safari maalum ya ndege kati ya Dar es Salaam na Dubai siku ya Jumapili, Machi 8, 2026, kwa leng [...]
Tanzania yatoa wito wa amani kufuatia hali inayoendelea Mashariki ya Kati
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imepokea kwa masikitiko matukio yanayoendelea kujitok [...]
DRC yashangazwa na ubora wa matibabu Muhimbili
Gavana wa Jimbo la Maniema, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mhe. Moise Kabwankubi ameongoza ujumbe kutoka nchi hiyo kuzuru Hospitali ya Taifa [...]
Tanzania yazindua Mradi wa Umeme wa Jua kwa visiwa 120
Serikali ya Tanzania Jumamosi imezindua mradi wa kusambaza umeme wa jua unaolenga visiwa 120 vilivyopo katika mikoa minane inayopakana na maziwa makuu [...]
Moody’s yathibitisha daraja la B1 kwa Tanzania huku ukuaji wa uchumi ukiendelea licha ya changamoto za kisiasa
Shirika la kimataifa la tathmini ya mikopo Moody’s Ratings limethibitisha daraja la Tanzania la B1 kwa muda mrefu katika mikopo ya sarafu ya ndani na [...]
Somalia na Tanzania zaimarisha ushirikiano wa uhamiaji kupitia MoU mpya
Somalia na Tanzania zimetia saini Hati ya Makubaliano (MoU) yenye lengo la kuimarisha ushirikiano katika usimamizi wa masuala ya uhamiaji na kuongeza [...]

UN yaisifu Tanzania kwa kuwa na mifumo imara ya maridhiano
Rais Samia Suluhu Hassan, amekutana na kufanya mazungumzo na Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Amina Mohammed, ambaye ameisifu Tanzania kwa [...]

