Tag: habari za kimataifa
Tanzania yaendelea kuongoza soko la Parachichi India
Parachichi nchini India yanapatikana kwa wingi kupitia uagizaji kutoka nje, huku soko likiwa katika hali ya kawaida bila mabadiliko makubwa kwa sasa, [...]
Bandari ya Mtwara yapokea meli kubwa ya shehena
Bandari ya Mtwara imeendelea kupokea meli zaidi zinazoleta shehena ya magari na mitambo ambapo tarehe 09 Februari, 2026 meli nyingine ya MV ANA OCEAN [...]
Zimbabwe yapendekeza kuongeza mihula ya Rais na Bunge hadi miaka saba
Baraza la Mawaziri la Zimbabwe limeidhinisha muswada wa marekebisho ya Katiba unaolenga kuongeza muda wa mihula ya Rais na Bunge kutoka miaka mitano h [...]
Mawaziri wa Afrika waweka mkakati wa kuongeza thamani ya madini barani
Mawaziri wa Madini wa nchi za Afrika wamekubaliana kwa kauli moja kuweka mikakati ya kuongeza thamani ya madini katika nchi zao hususani madini ya kim [...]
Rushwa nchini Kenya yadhoofisha uchumi
Ripoti ya Tume ya Maadili na Kupambana na Rushwa ya Kenya (EACC) ya mwaka 2024 inaonesha kuwa rushwa bado ni tatizo kubwa linaloathiri moja kwa moja u [...]
Rais Samia Suluhu Hassan atajwa miongoni mwa wanawake 100 wenye ushawishi mkubwa Afrika 2025
Avance Media imetangaza orodha ya Wanawake 100 Wenye Ushawishi Mkubwa Barani Afrika kwa mwaka 2025, chapisho ambalo linatambua wanawake wa Kiafrika am [...]
Rais Samia: Tanzania imepanda viwango kimataifa vya nchi zinazopendelewa kwa uwekezaji
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema kuwa Tanzania imepanda kwa nafasi tisa katika viwango vya kimataifa vya nchi zin [...]
Shilingi bilioni 5 zatengwa kuimarisha kampuni 50 za TEHAMA
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Angellah Kairuki amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imetekeleza kwa vi [...]
Soko la dengu kufunguliwa Malyasia
Serikali imesema inaendelea na taratibu za kufungua soko la dengu nchini Malaysia.
Naibu Waziri wa Kilimo, David Silinde ametoa kauli hiyo bungeni [...]
BoT: Hatuuzi dhahabu kufadhili miradi ya Serikali
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jana tarehe 30 Januari 2026, imesema ina mpango wa kuuza sehemu ya hifadhi yake ya dhahabu kwa ajili ya kusawazisha mizani [...]

