Tag: habari za kimataifa
Zaidi ya shule 20,000 za msingi na 5,000 za sekondari zina vyanzo vya maji vya uhakika
Serikali imesema kuwa shule 5,311 za Sekondari zina vyanzo vya maji vya uhakika, huku pia shule 20,509 za msingi zina vyanzo vya maji ya uhakika.
K [...]
Ndege ya kudhibiti visumbufu vya mazao aina ya Thrush 510P2+ yanunuliwa na Serikali
Serikali ya Tanzania imenunua ndege aina ya Thrush 510P2+ ambayo itatumika katika kudhibiti visumbufu vya mazao, ikiwa ni sehemu ya jitihada za kuonge [...]
Hospitali ya Maweni yafanya upasuaji wa nyonga kwa mara ya kwanza
Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Maweni – Kigoma kwa mara ya kwanza imefanya upasuaji kwa mgonjwa mwenye tatizo la nyonga ikiwa ni siku ya tano ya kambi ya [...]
Ushirikiano kati ya Tanzania na Japan wazidi kuimarika
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema ushirikiano wa Tanzania na Japan umezidi kukua na kuimarika katika nyanja za kiuchumi, kisiasa na kidiplomasia am [...]

Rais Samia atahadharisha wanaharakati wa kigeni kuacha kuingilia masuala ya nchi
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa onyo kwa wanaharakati wa kigeni wanaodaiwa kuingilia masuala ya ndani ya Tanzania, akisema kuwa ikiwa wamewekewa vikwa [...]
Rais Samia ataja fursa za uhusiano na Finland
TANZANIA na Finland wamekubaliana kuimarisha biashara baina yao.
Rais Samia Suluhu Hassan alisema hayo Ikulu, Dar es Salaam jana baada ya kuzungumz [...]
Waziri Kombo Amkabidhi Rais Museveni Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais Samia
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewasilisha ujumbe Malumu kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya M [...]
Wanafunzi mikopo elimu ya juu kuongezeka
Idadi ya wanafunzi wanaonufaika na mikopo ya elimu ya juu itaongezeka kutoa 245,314 mwaka 2024/2025 hadi wanafunzi 252,773 mwaka 2025/2026.
Tarifa [...]
Bei mpya za mafuta kuanza Mei 7,2025
Bei Kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano ya tarehe 7 Mei 2025.
[...]
Yanga SC kuendelea na msimamo wao wa kutoshiriki mchezo namba 184 dhidi ya Simba SC
Klabu ya Yanga Sc imesema itaendelea na msimamo wake wa kutoshiriki mchezo namba 184 kwa kile kinachodaiwa kutoridhika na uamuzi wa Mahakama ya Kimata [...]